Ifike hatua jamii au waja mkubali ukweli ulioko hata km hamuutaki.
Hivi hawa wanawake wanatolewa hizo bikra na kina nani? Kwann nyie wanaume msitulie bila kuwatongoza wasichana, ili wabaki na bikra hadi watakapo olewa?
Kuwaharibu mnawaharibu wenyewe, afu lawama na kero mnazitua kwao, hivi mko timamu? Si ndio nyie mnahamasisha kijana akisha balehe atembeze rungu km mlinzi mpya Getini, na asipofanya hivyo mna muona aidha khanithi au shoga, sasa mnalaumu nn? Matokeo ndio hayo,
Tumechoka kelele zenu, kwani lazima kuoa? Si ukae single tyuu. Mxxxxiiiieeeew