mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
[emoji12][emoji12][emoji12]Hayo yote hutekea kwa sababu mbalimbali, mfano wewe Mamafacebook, unauza duka la mumeo kariakoo, ila mumeo ni mwajiliwa sehemu nyingine, yeye anawahi kurudi kabla yako, mfano anarudi saa 14:00 wewe muda huo bado uko dukani hamtahitaji msaidizi nyumbani. Ila mke wangu kama hajui kupika nitampeleka sehemu kujifunza, ila simwachi labda kama sjampenda.
Yah, kama hupendi kupika, hata kama unajua ni kumjulisha mpendwa wako mapema kabla hamjawa pamoja, ili aweze kupima kama anaweza kumudu kuishi na wewe kwa mapungufu yako, hata huyo aliandikiwa mada hii, angemueleza mwenzi wake mpema udhaifu wake, yasingemkuta hayo.Kweli bhana I wish wanaume wote wangekuwa wanawaza kama wewe. Kuna vitu mtu huwezi kumfundisha mf. Huwezi kumfundisha malaya kutulia ila kupika mtu anajifunza tu japo wengine naturally hawapendi kupika...sijui mimi ni mmoja wao? [emoji13] [emoji13]
Hivi unajua sisi wanaume tu wavivu kakaa jikoni, eti urudi kazini, ukae jikoni tena haa wee.[emoji12][emoji12][emoji12]
Akiwahi kurudi atajipikia hahaaa
Ndio sababu nimecheka hapo mwisho najua fika wavivuHivi unajua sisi wanaume tu wavivu kakaa jikoni, eti urudi kazini, ukae jikoni tena haa wee.
Mke kama hajui kipika mkipata wageni unakaa nae jikoni unapika wewe chakula kikiiva unatangulia kukaa na wageni unamwachia awatengeeHayo yote hutekea kwa sababu mbalimbali, mfano wewe Mamafacebook, unauza duka la mumeo kariakoo, ila mumeo ni mwajiliwa sehemu nyingine, yeye anawahi kurudi kabla yako, mfano anarudi saa 14:00 wewe muda huo bado uko dukani hamtahitaji msaidizi nyumbani. Ila mke wangu kama hajui kupika nitampeleka sehemu kujifunza, ila simwachi labda kama sjampenda.
Sasa wauona...bila shaka utadu ze nidifuliUmesema kweli sababu sjakutafta lakini sikua naona uwepo wako mda sanaa
Kweli bhana I wish wanaume wote wangekuwa wanawaza kama wewe. Kuna vitu mtu huwezi kumfundisha mf. Huwezi kumfundisha malaya kutulia ila kupika mtu anajifunza tu japo wengine naturally hawapendi kupika...sijui mimi ni mmoja wao? [emoji13] [emoji13]
Haha yes nitadu!Sasa wauona...bila shaka utadu ze nidifuli
swadakta kipenzi....Haha yes nitadu!
[emoji12][emoji12][emoji12]kipenzi[emoji85][emoji85]swadakta kipenzi....
Hutaki?[emoji12][emoji12][emoji12]kipenzi[emoji85][emoji85]
Sitaki kwa kweli umerudisha avatarHutaki?
Ee nimeona mtu kaniiga avatar yangu nimeona isiwe tabuSitaki kwa kweli umerudisha avatar
[emoji23][emoji23] ilaumezoeleka na ileEe nimeona mtu kaniiga avatar yangu nimeona isiwe tabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nikikutajia utanipa jikosa la nguvu bora niendelee kubakia anonymousHahah hebu nijuze wa wapi ili nkutilie pata au jikosa...
Hahah sawaaa...ila wewe najua utakuwa waweza kukorofisha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nikikutajia utanipa jikosa la nguvu bora niendelee kubakia anonymous