Mapishi ya Pilau

jashmoe32

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,087
423
Waungwana naombeni msaada wa kupika pilau simple bila nyama mana uchumi hauruhusu
 
na c lazma achemshe njegere.anaweza akapikia humohumo kipindi anaweka viungo.na km haina nyama anaweza akaweka nazi kwa ladha zaid

He he hujamsikia ana budget Kali mwenzako nyama imemshinda nazi being juu.njegere hazishikiki
 
Kweli kabisa name viungo anunue vile vya kwa mangi sh 50 hamsini hamsini tu lol
amu umeua.hapo aweke na jira japo inukie majirani wahamasike otherwise hhiyo ni pilau bubu au wali wa rangi.raha ya pilau nyama au samaki.
 
Unapika kama kawaida tu ila ndo huweki nyama. jamani wengne wana imani za kirasta hawali nyama! Me mwenyewe napenda pilau bubu na rosti ya nyama au maini pembeni, linanogaje!
 
Angalia hii
 

Attachments

  • 1396496822020.jpg
    1396496822020.jpg
    93.2 KB · Views: 583

Similar Discussions

Back
Top Bottom