Unalazimisha kutoelewa, 1% of GDP means 1% and nothing else. Inamaanisha katika kila pesa 100 ya pato la US pesa moja inatokana na kilimo. Kwa Tanzania ni karibia mara ishirini na Tano ya hiyo.Sehemu kubwa ya uchumi? Hilo pia halipo. Ukimwambia Mmarekani aachane na Soy beans, mahindi na ngano hawezi kabisa kukuelewa. Kilimo ni sehemu kubwa kabisa ya uchumi wa Marekani.
Kwa nini Tanzania iachane na kilimo kama sehemu muhimu ya uchumi wake wakati ina potential ya kulisha Africa Mashariki nzima?
Hivyo viwanda vitajengwa vizalishe vitu gani katika miaka 10, 15, hadi ishirini ijayo, vitakavyoweza kuhudumia sehemu kubwa ya uchumi wake?
Kilimo kinatakiwa kuboreshwa, si kidogo, ila sana tena kwa haraka zaidi kutuwezesha kuinua uchumi wetu haraka wakati viwanda vinaanzishwa. Kwa maana hiyo, kilimo kitaendelea kuwa muhimu sana kama ajira kwa waTanzania, na ndio maana kinatakiwa kiboreshwe haraka ili hawa watu wengi wainue maisha yao. Hatuwezi kuwa na viwanda kuajiri watu hao uliowasema, na wala hatuwezi kusubiri ndipo mabadiliko yapatikane katika maisha yao.
And you know what that 1% GDP means for the US!
Unachochanya ni kuwa, kwa mfano umesema tunahitaji mazao kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na kuuza. Hilo ni sawa, hakuna anayekataa, ila halihitaji watu wawili kati ya kila watatu washiriki kilimo.Hata sielewi mnachobishana lol
Mie bado naamini katika kilimo
Just because watu wengine walifeli walivyotegemea kilimo..it doesn’t mean na sisi tutafeli
Solution ni kuidentify the GAP ama makosa waliyofanywa wenzetu ..ndio tujipange ki stratergy
Pia tunahitaji mazao kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na mengine kuuza,then kilimo lazima kuwe na UZALISHAJI at maximum..
Hatuwezi kuwa na viwanda, kama kilimo hakijazalisha to this level..
Sasa utajenga viwanda,utatoa wapi malighafi ?
So,viwanda vinategemea kilimo,,,,
Kudismiss role ya kilimo kwenye uchumi,ni kua kwenye denial
Unachochanya ni kuwa, kwa mfano umesema tunahitaji mazao kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na kuuza. Hilo ni sawa, hakuna anayekataa, ila halihitaji watu wawili kati ya kila watatu washiriki kilimo.
Kuondoa hilo, itabidi uanzishe viwanda. Viwanda then, vitachochea kilimo and not vice versa.
Unalazimisha kutoelewa, 1% of GDP means 1% and nothing else. Inamaanisha katika kila pesa 100 ya pato la US pesa moja inatokana na kilimo. Kwa Tanzania ni karibia mara ishirini na Tano ya hiyo.
Not good.
Kuna watu ninawajua wana heka hizo tatu za mikorosho na mafanikio yao najua hata ukae miaka 20 huwezi kuwafikia.Huelewi concept.
Mtu mmoja alime korosho Mtwara nzima, mwingine Pwani nzima halafu kuwe na viwanda vya mafuta ya korosho, kubangua na kupakia korosho, na kutengeneza pombe za ulaka au juice ya mabibo.
Pia mbolea, mashine za mashamba yake, repair, banks na huduma za wafanyakazi wa shamba hilo kubwa na viwanda vinavyozunguka, mahoteli, etc .. ndiyo vitachochea ukuaji wa uchumi wa Mtwara au Pwani.
Haya mambo ya heka tatu na vyama vya ushirika mtakaa miaka mia mbili hamuendi popote.
Jinsi ulivyoweka maneno hayo hapo juu. Angalia hii issue kitaifa bila serikali kutumia fedha kuanzisha viwanda. Ondoa wazo kuwa serikali itaanzisha viwanda.ukiwa na viwanda yes utavutia watu walime,lakini kama hela yako yote umeweka kwenye maviwanda,utapata wapi hela ya kilimo??
Unajua mkuu, kuna reality na fantasy. Ekari tatu za korosho zitaweza vipi kukupa mafanikio mara ishirini ya kima cha chini cha mshahara?Kuna watu ninawajua wana heka hizo tatu za mikorosho na mafanikio yao najua hata ukae miaka 20 huwezi kuwafikia.
Endelea kuishi kijima
Sent using Jamii Forums mobile app
Honestly, hatuelewani kwa sababu sielewi unachozungumza.Sasa kama unaona nalazimisha, si acha tu kulazimishwa?
Ukweli ni huo, hata kilimo kingechangia 0.5 ya GDP ya uchumi wa Marekani, hakuna kichaa ambaye angependekeza Marekani kuachana na kilimo. It is simple as that.
Halafu unaleta mlinganisho huo na nchi kama Tanzania yenye viwanda vingapi vile? 3 060 alivisema juzi Rais, na havijulikani viko wapi na wala vinazalisha nini! Huko ni kulinganisha kweli?
unachozungumza ni kweli ila sasa ni wakati wakutoka katika kilimo cha subsitence na kuhamia katika industrialized agricltr mkuu bila kuhimiza viwanda wakulima watashindwa kufny lrge scale kwa sababu bila viwanda walime kwa gharama kubwa na ustadi wa hali ya juu alaf wapeleke wap..? yawaozee ndani? hpna vwanda vikishaonekana vitachochea watu kulima kwa ustadi hta vjna ambao hwana kazi watadhubutu kulima sababu wameona soko la bidhaa...na unaposema kilimo ni duni and then hpo hpo unasema msmaha wa kodi kweny baadhi ya pembejeo na zana zingine za kilimo sii relevant na kilimo duni unamaanisha nn mkuu? kwa sababu ninavoelewa poor farming inasababishwa na na zana mbovu za kikimo,mazao kutoka duni kwa sababu ya ardhi mbovu ilio kosa mbolea na virutubisho sasa serikali ilipotia ruzuku huko ni kuwezesha wakulima waji improve katika hyo sectr au nmekosea mkuu??Mkuu umeeleza jinsi sector hizi mbili zinavyo fanya kazi ila ujaeleza kiundani haswa kinachotokea katka sector hizi mbili
Kwa taarifa almost more than 50% and above ya watanzania wanategemea kilimo kama shughuli yao kuu so ukigusa kilimo umegusa walio wengi
Though kuna umuhimu wa kuwa na viwanda ila viwanda vitatoa wapi raw materials kama kilimo ni duni mambo ya msamaha wa kodi na uwepo wa rudhuku katka baadhi ya bidhaa sio relevant sana mkuu
Honestly, hatuelewani kwa sababu sielewi unachozungumza.
Tunaongelea ili tuendelee haraka tufanye nini na wewe unaleta issues zisizoeleweka. Marekani walisha divert from agriculture a long time ago.
Hatuongelei kufyeka mashamba na kuunguza kila kitu. Thats weird.
More like .... Absurd.So, kama all along tumekuwa hatuelewani ni kipi tumekuwa tukikizungumzia hadi tukafika hapa, what does that mean? It must be more than being 'weird'! 'insane' is the word that comes to mind.
More like .... Absurd.
Thank you sir!Take what ever pleases you.
Unatengeneza mfumo gani kuwa accomodate wakulima wadogo pamoja na hao wakubwa??Tunahitaji farmers wasiozidi 20 tu kutoshereza mahitaji ya taifa letu na kuuza ziada nje.
Kwa jinsi hali ya Tanzania ilivyo tayari sehemu kubwa ya ardhi wanayo wakulima wadogo wadogo (hekari 1-5)Haya mambo ya heka tatu na vyama vya ushirika mtakaa miaka mia mbili hamuendi popote.
Ushauri mzuri.Sijuwi ule mpango wa Kilimo Kwanza umeishia wapi.hello JF,
Mie naona kwa vile taifa letu 80% wanategemea kilimo
Then serikali inge invest huko sio kununua ndege..
Ndege ni maendeleo lakini hio pesa ingewekwa kwenye kilimo,kusingekua na malalamishi ya mtaani kugumu…
Tuishaurini serikali iielekeze nguvu kwenye kilimo na kukomboa uchumi wa mtu mmoja mmoja….
1.Magufuli awe flexible,asikilize ushauri wa mawaziri wake,mie statement yake kuwa anakesha kuangalia ma file iliniambia mkuu anapenda kuchukua au kufanya kazi peke yake sio team player,hivyo kuwafanya mawaziri wake kuwa passive,sababu wanaona hawashirikiswi na kuna uoga wa kum confront rais.Hii atmosphere sio nzuri,ibadilike kama tunataka ku move forward...2.Ningependa kuona courses za kilimo kwenye vyuo vikuu ziko nyingi na tofauti,FEES kwa hizo course ziwe ALMOST FREE,itawaencourage watu kujiunga na kusoma mambo ya kilimo,kuajiri au kuajiriwa skills ziwe part ya hizi courses pia......3.Kuwe na workshops ndogo ndogo zinazo run throughout the year,zinazofundisha mambo ya kilimo,kwa mfano nimeona huko jukwaa la kilimo watu wanauliza nataka kujiajiri kwenye kilimo ila sijui nianzie wapi au mtaji nitenge shilingi ngapi?,au nilime nini? naamini kungekua na hizi workshop majibu yao yangepatiwa ufumbuzi na kuwapa confidence...kufanya wanayotaka….NYINGINE ONGEZEENI...lol