Hivo viwanda vitachakata masaburi auHakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea kilimo. Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo ili ziwe na maendelea halisi ambayo ni ya viwanda.
"Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo----" maana halisi ipo hapo. Nchi hizo huendeleza kilimo, na huendelea mbele zaidi kwa kuendeleza viwanda baada ya kuwa na msingi fulani wa kilimo.Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea kilimo. Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo ili ziwe na maendelea halisi ambayo ni ya viwanda.
mawazo yako ni mazuri ingawaje umeyatoa kwa mfumo wa kutokubali kile kinachofanywa na serikali ya awamu hii ya 5 kitu kilichosababisha usione uhalisia wa kinachofanyika ila kwa kuwa umetoa nafasi ya kuongeza naeza nikaeleza kulingana na uwelewa wangu..hello JF,
Mie naona kwa vile taifa letu 80% wanategemea kilimo
Then serikali inge invest huko sio kununua ndege..
Ndege ni maendeleo lakini hio pesa ingewekwa kwenye kilimo,kusingekua na malalamishi ya mtaani kugumu…
Tuishaurini serikali iielekeze nguvu kwenye kilimo na kukomboa uchumi wa mtu mmoja mmoja….
1.Magufuli awe flexible,asikilize ushauri wa mawaziri wake,mie statement yake kuwa anakesha kuangalia ma file iliniambia mkuu anapenda kuchukua au kufanya kazi peke yake sio team player,hivyo kuwafanya mawaziri wake kuwa passive,sababu wanaona hawashirikiswi na kuna uoga wa kum confront rais.Hii atmosphere sio nzuri,ibadilike kama tunataka ku move forward...2.Ningependa kuona courses za kilimo kwenye vyuo vikuu ziko nyingi na tofauti,FEES kwa hizo course ziwe ALMOST FREE,itawaencourage watu kujiunga na kusoma mambo ya kilimo,kuajiri au kuajiriwa skills ziwe part ya hizi courses pia......3.Kuwe na workshops ndogo ndogo zinazo run throughout the year,zinazofundisha mambo ya kilimo,kwa mfano nimeona huko jukwaa la kilimo watu wanauliza nataka kujiajiri kwenye kilimo ila sijui nianzie wapi au mtaji nitenge shilingi ngapi?,au nilime nini? naamini kungekua na hizi workshop majibu yao yangepatiwa ufumbuzi na kuwapa confidence...kufanya wanayotaka….NYINGINE ONGEZEENI...lol
Huwezi kuwa mkulima mdogo, halafu uwe na tija katika kilimo. Kilimo kina tija zaidi kikiwa mechanized, na kutumia mbegu bora na ardhi bora au iliyoboreshwa. Sasa mechanization ya heka tatu tatu is not viable, utashindwa competition kama ikiwa fair."Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo----" maana halisi ipo hapo. Nchi hizo huendeleza kilimo, na huendelea mbele zaidi kwa kuendeleza viwanda baada ya kuwa na msingi fulani wa kilimo.
Lakini pia tusichukulie kuwa nchi zote zinafanana. Kilimo na viwanda vya Marekani haviwezi kuwa 'model' ya maendeleo ya Tanzania. Kwa mfano, wakulima wa Marekani ni wenye mashamba makubwa, tena wachache. Sijui kama Tanzania tunaweza kuwaondoa wakulima wote wadogo tuwapeleke mijini kupisha mashamba makubwa. Nadhani Tanzania itanufaika zaidi kuwaimarisha hao wakulima wadogo wadogo kuwa na kilimo cha tija.
Ndio, maendeleo yataimarika zaidi kwa kuanzisha na kuimarisha viwanda, lakini sio viwanda kuwa mbadala wa kilimo katika kuleta maendeleo ya haraka, hasa huko vijijini.
Tufanye kilimo na Elimu viwe vipaumbele vya kudumu katika mipango ya maendeleo, wakati tukiendelea kushughulikia hivyo vipaumbele vingine, kama miundombinu, viwanda na kadhalika.
Minazi si ipo mingi? Katengenezeni pombe ya mnazi basi muiweke kwenye packaging nzuri muiuze comoro au sijui api huko mnapotaka kuuza matikiti yaliyosindikwa.Hivo viwanda vitachakata masaburi aubwana fikiria kabla ujaandika au unawai seat???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kinachozuia 'mechanization' ya kilimo kidogo? Mbona Israel kuna wakulima wadogo!Huwezi kuwa mkulima mdogo, halafu uwe na tija katika kilimo. Kilimo kina tija zaidi kikiwa mechanized, na kutumia mbegu bora na ardhi bora au iliyoboreshwa. Sasa mechanization ya heka tatu tatu is not viable, utashindwa competition kama ikiwa fair.
The largest animal migration (annual) ni Chinese New Year na Siyo Serengeti. China ndivyo ilivyojiendeleza pamoja na nchi hiyo kuwa na historia ya kutegemea kilimo walikuwa wanakufa njaa kwa kutegemea peasantry.
Peasantry has proven to be an obsolete form of economy. Not suitable at this time. Kilimo waachiwe watu wa large scale.
Kilimo ni asilimia 2.5% ya GDP ya Israel. Ni asilimia moja tu (1%) ya waisrael ndiyo wanaojihusisha na kilimo.Kuna kitu kinachozuia 'mechanization' ya kilimo kidogo? Mbona Israel kuna wakulima wadogo!
Kilimo ni asilimia 2.5% ya GDP ya Israel. Ni asilimia moja tu (1%) ya waisrael ndiyo wanaojihusisha na kilimo.
Sasa chukua hizo data kutoka ILO halafu linganisha na asilimia 67 ya watanzania wanaojihusisha na kilimo. Pia, tafuta data za agricultural production ya Tanzania na Israel uniambie nini maana ya "Israel ina wakulima wadogo"
Hebu taja hizo nchi, ujue nyie mliokimbia umande mnatupa hasiraHakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea kilimo. Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo ili ziwe na maendelea halisi ambayo ni ya viwanda.
Hivyo viwanda vitatoa wapi malighafi kama ukijitoa kwenye kilimo?Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea kilimo. Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo ili ziwe na maendelea halisi ambayo ni ya viwanda.
Mkuu ulipaswa uwe waziri wa maji na umwagiliajihello JF,
Mie naona kwa vile taifa letu 80% wanategemea kilimo
Then serikali inge invest huko sio kununua ndege..
Ndege ni maendeleo lakini hio pesa ingewekwa kwenye kilimo,kusingekua na malalamishi ya mtaani kugumu…
Tuishaurini serikali iielekeze nguvu kwenye kilimo na kukomboa uchumi wa mtu mmoja mmoja….
1.Magufuli awe flexible,asikilize ushauri wa mawaziri wake,mie statement yake kuwa anakesha kuangalia ma file iliniambia mkuu anapenda kuchukua au kufanya kazi peke yake sio team player,hivyo kuwafanya mawaziri wake kuwa passive,sababu wanaona hawashirikiswi na kuna uoga wa kum confront rais.Hii atmosphere sio nzuri,ibadilike kama tunataka ku move forward...2.Ningependa kuona courses za kilimo kwenye vyuo vikuu ziko nyingi na tofauti,FEES kwa hizo course ziwe ALMOST FREE,itawaencourage watu kujiunga na kusoma mambo ya kilimo,kuajiri au kuajiriwa skills ziwe part ya hizi courses pia......3.Kuwe na workshops ndogo ndogo zinazo run throughout the year,zinazofundisha mambo ya kilimo,kwa mfano nimeona huko jukwaa la kilimo watu wanauliza nataka kujiajiri kwenye kilimo ila sijui nianzie wapi au mtaji nitenge shilingi ngapi?,au nilime nini? naamini kungekua na hizi workshop majibu yao yangepatiwa ufumbuzi na kuwapa confidence...kufanya wanayotaka….NYINGINE ONGEZEENI...lol
Revolution katika kilimo iliweza kuzipitisha nchi kadhaa kuelekea katika viwanda.Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea kilimo. Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo ili ziwe na maendelea halisi ambayo ni ya viwanda.
Tanzania Ina watu wachache sana wanaolimaLengo ni kuwaondoa hao wananchi wanaotegemea kilimo, wategemee viwanda (manufacturing).
Tuna watu wengi wanaolima, na hilo ni tatizo kubwa.
Hivyo viwanda vitatoa wapi malighafi kama ukijitoa kwenye kilimo?
Kiwanda cha nguo-pamba
Kiwanda cha sukari -miwa
Unga mahindi
Bia-ngano, sukari(miwa)
Sigara-tumbaku
Juice -matunda
nk
Viwanda bila kilimo ni sawa na kuwa na walimu bila wanafunzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi concept.Pengine ana picha ya viwanda vya kuunda na kuunganisha magari, electronics, kufua vyuma, kutengeneza mitambo n.k.
Unajua, watu wanapozungumzia viwanda kwa nchi kama Tanzania ilipo sasa, kilimo hakiepukiki kamwe.
Madini tunayoruhusu yachimbwe ambayo yangekuwa ni msingi mzuri wa kuanzisha viwanda vyetu muhimu, yote tunauza nje, tena kama mali ghafi bila hata ya kuongeza thamani yoyote.
Tunazungumzia viwanda, hata vijana wetu hatuwawekei mikakati ya elimu ya kuwawezesha kuendesha viwanda hivyo.
Tutazungumzia sana viwanda, lakini ukweli ni kwamba hatuandai mazingira ya kuendesha viwanda vya aina yoyote kwa ufanisi.
Ni kweli kabisa mkuu,Pengine ana picha ya viwanda vya kuunda na kuunganisha magari, electronics, kufua vyuma, kutengeneza mitambo n.k.
Unajua, watu wanapozungumzia viwanda kwa nchi kama Tanzania ilipo sasa, kilimo hakiepukiki kamwe.
Madini tunayoruhusu yachimbwe ambayo yangekuwa ni msingi mzuri wa kuanzisha viwanda vyetu muhimu, yote tunauza nje, tena kama mali ghafi bila hata ya kuongeza thamani yoyote.
Tunazungumzia viwanda, hata vijana wetu hatuwawekei mikakati ya elimu ya kuwawezesha kuendesha viwanda hivyo.
Tutazungumzia sana viwanda, lakini ukweli ni kwamba hatuandai mazingira ya kuendesha viwanda vya aina yoyote kwa ufanisi.
Wrong .. It's vice versa.Revolution katika kilimo iliweza kuzipitisha nchi kadhaa kuelekea katika viwanda.
Kilimo kikiwa stable uhakika wa raw materials unakuwepo.
Kilimo kikiwa stable wananchi wanapata akili ya kuwekeza kwenye viwanda vidogo vidogo vya usindikaji
Kilimo kikiwa stable exportation will take place.
Hujaelewa.Hivyo viwanda vitatoa wapi malighafi kama ukijitoa kwenye kilimo?