Mapinduzi yaja Tanzania

Japo sijasoma zote kuna watu walio wengi wanaongea utumbo na kero za ajabu. kuna mijitu yanatamani vita. sio kama JK ni mzuri au serikali ni nzuri, kuna mapungufu ila sio ya kutangaza vita, uongozi sio lelemama! ni kumshukuru mungu tuliyonayo hata kama sio kwa kiwango stahili, ila ujue tumesogea sana
 

Zee la Khanga, Tshirt na Kofia! Hivi unajua athari za Inflation kwenye uchumi! Kaa kupiga makofi na kupumbazwa sisi tuna jenga taifa lenye amani na utulivu mkiwa maskini zaidi kibaya zaidi gizani.
 

Mkuu hata nikielezea hiyo demokrasia kwa mapana na tukakuta kuwa we have the most democratic society in the world, to remove or change it won't fix the problems. The problem here is not the the type of democracy we have, but the people themselves. I agree with you that "Instead of the Tanzanian masses physically rebelling against the leaders, a rebellion that will leave the masses of Tanzanians dead or hurt, the masses must rebel instead against the lies and ignorance created by the gouvernment which keep the minds of Tanzanians people imprisoned and their mental strength weak." I am not here to advocate violence after all.

I also agree with the most you have said. But would like to add. Most Tanzanians do not want change, even if they say it, no one wants change. If they did, they would go out and do what they needed to in order to acquire the change they want. Most Tanzanians like feeling safe, they don't want to worry about who's going to get them, or what they're going to lose, or what they have to do about it, they would like to stay cozy in safety. Change is a leap into the darkness without a light, and most everyone is afraid of the darkness. However, what most Tanzanians don't realize is that once you're in the darkness, your eyes adjust and you begin with small steps making mistakes at first, and as you continue see better and better making fewer mistakes and actually causing change in others purely by observation.

I agree with you there are those who would talk all day without taking any action. I also agree with you there are some looking for some like-minded people ready for a change. But whether I am one of those minded people, I don't think we will reach anywhere. If we concentrate picking up those who are ready for change, how about those who talk all day? Should they be left out? Of course, we have start somewhere but if we are going to bring a real change, then we gonna have to start with those who talk all day. That's where the problem lies. The Tanzanian society as a whole need to change. If we only take on board those minded who like change and leave out the others, then we might end up to what you tried to avoid in your second paragraph: ".....the Tanzanian masses physically rebelling against the leaders, a rebellion that will leave the masses of Tanzanians dead or hurt...".
 
Mwaka 2005 JK alipotanganzwa mshindi, nilikuwa nje ya nchi nikampigia rafiki yangu Tanzania nikwamwambia tumeliwa akasema nina udini, 2010 alipotangazwa mshindi nikwambia tuna miaka mitano migumu sana na atafanya kweli.

Sasa hivi tuna tatizo kubwa la umeme anasema yeye siyo mvua. UK PM alikuwa ziarani Africa, akakatisha safari kurudi UK kushughulikia suala dogo la vyombo vya habari. JK yuko ziarani, nchi hiko gizani anasema yeye siyo mvua (This is a type of President we have).

SORRY I HATE YOU KIKWETE. I NEVER LIKED YOU AND I WILL NEVER LIKE YOU.
 

Mkuu, kiongozi makini na anayejali ni yule anayefanya kati ya haya mawili anapoona kuna tatizo 1)anahangaika kutafuta solution 11)anakubali ameshindwa anaachia wengine wafanye/wajaribu. Sasa JK hafanyi chochote kati ya haya; yeye anabaki kucheka na kutoa majibu mepesi pale anapolazimika kuongea. Kwa mtindo huu wewe ungemsaidiaje?
 
Tanzania tupo zaidi ya Mil 40, ninaamini kati yetu wapo walio bora zaidi. Tunahitaji mtu mwenye uchungu na vision ya kuleta maendeleo....tumechoka na sanaa na maigizo
Nimeipenda hii busara uliyoitumia hongera sana. Wao wanaonekana kabisa kuwa hawawez uongozi lakini bado wanang'ang'ania. KEEP IT UP.
 
 
Habari zenu wanaJF,
Nimefuatilia kwa muda mrefu sasa siasa za nchi yetu, nimefuatilia uwakilishi wetu (wabunge), wapinzani, wanaharakati n.k hitimisho langu ni kwamba wote hawapo kwa maslahi ya nchi na wananchi kwa ujumla wao bali maslahi binafsi.

Nasema hivi kulingana na mwenendo mzima wa matukio yanayoendelea kutukia bila hatua zozote za makusudi kuchukulia, hoja zinazojengwa zisizo na mwelekeo wowote kuleta mabadiriko bali kujitengenezea umaarufu kwa maslahi binafsi. Katika Kipindi kigumu kama hiki tulicho nacho, matatizo tuliyo nayo kama kupanda gharama za maisha, kukosa umeme, kashifa nyingi za rushwa na hivi karibuni suala la Rushwa Bungeni (David Jairo na hatua nyepesi kabisa zilizochukuliwa), bado hakuna hatua madhubuti zilizochukuliwa, hakuna waitwao Upinzani, Wanaharakati, wanazuoni etc. Nilitarajia wanazuoni, wapinzani, wana-asasi zisizo za kiraia, n.k kuhamasisha umma, kuonyesha njia sahihi za kudai kwa nguvu haki zao stahiki, ikiwa ni pamoja na kuandaa maandamano nchi nzima kushinikiza serikali inayoonyesha kushindwa kutatua matatizo ya wananchi kuondoka madarakani ili wenye uwezo kufanya hayo wapewe fursa.

Ni Mtanzania gani karne hii asiyeweza kuona wazi kushindwa kwa serikali ya Rais Kikwete kuwafikisha Watanzania kule walikotamani na kuota kwa takribani miaka 50 ya Tangu Uhuru wa Taifa hili bila punje y a ndoto hizo kufikiwa.....yaani taifa lenye Heshima itokanayo na kuwa na, uchumi imara, utawala bora, afya, miundombinu n.k. Badala yake ahadi hewa, zisizotekelezeka, mipango mingi isiyokuwa na tija wala mikakati, Miradi rukuki isiyo na tija wala mantiki hata kidogo.

Wawakilishi wetu Bungeni wamefanya nini, wamechukua hatua gani za makusudi kabisa katika kuhakikisha kuondoa serikali hii ambayo wananchi wamekosa imani nayoi? ni kweli hakuna njia mbadala ya kuweza kutuondoa katika balaa hili (Serikali ya JK) ambalo kwa takribani Miaka 6 sasa tangu kupewa dola linatupeleka shimoni? je tunasubiri kuzikwa kabisa ndiyo watanzania tustuke? Miaka 4 iliyobaki si haba hata kidogo....kama siku moja inaweza kubadirisha sura nzima ya nchi, iweje kwa miaka 4 iliyobaki!

Watanzania tutafakari, tuchukue hatua, kuondoe serikali hii dhaifu madarakani, imeshindwa ku-deliver, imeshindwa kuwaondolea matatizo wananchi, imeendekeza starehe na safari zisizo na tija, imekosa mwelekeo, imeshindwa kupambana na rushwa, imeshindwa kupambana na madawa ya kulevya, imeshindwa kupambana na ajali zinazomaliza ndugu zetu, imeshindwa kila kitu. Hakuna sababu hata moja kuistahilisha kuendelea kushika dola hata kidogo.

Ni serikali goigoi, zembe, mbumbumbu, dhaifu, isiyoweza kufikiri, imekosa maono, imekosa utashi na Ushawishi kila mahali
Nawasilisha Hoja.
Asanteni.
 
tatizo letu sisi watanzania tunafanyiwa vitu vya kipuuzi sana na viongozi wetu na kubaki kulaumu tu bila kuchukua hatua mahususi. Mfano mzuri ni hatua ya serikali kumpa huyu jamaa likizo iliyo na malipo maana yake ni nini sasa kama si kuwadharau watanzania? Yaani mtu ni dhalimu lakini bado kwa kuonyesha kwamba wanabariki alichikifanya wanamwambia "kaka umetufanyia makubwa, tunaomba kidogo upumzike kwa amani na kiasi hiki chukua", hiyo ndio maaana yake! Hii sasa si ni dharau kwa bunge na kwa wananchi? tuamke jamani watanzania
 
JK kabakiwa na Usalama wa Taifa lakini wananchi wote including majeshi yetu wamechoka ile mbaya
 
Love this prospective na hasa michango ya wananchi kwenye hii thread. Ukweli upo na tunakwenda kwenye mabadiliko makubwa. Huwezi ccm mkaendelea kuwadanganya watanzania na makundi yenu ya kihuni. Hakuna tofauti yeyote kati ya makundi ya criminals mafias na gambinos. Tangu lini nchi ikaongozwa na watu wasiokuwa na skills na hata moyo wa kupenda nchi yao? Ukiona maamuzi ya ccm na kikwete utacheka mwenyewe na utaumia sana moyoni, wanatumia mali na assets za wananchi bila hofu ya mapinduzi na fear of God. Kitu gani kinawapa kikwete na wahuni wao hii miiyo? Hiki ndicho bado nakitafuta na sikipati. Serikalini mpaka sasa nimeongea na marafiki ofisi za afya, elimu na sehemu nyingine wanakueleza vitu vya ajabu, sasa najiuliza je tunataka kuwachukulia hawa jamaa hatua gani? Angalia UDA, angalia bajeti za kununuliwa na posho zao na mishaara yao. Huu ni unyama au ushatani? Hata aibu hawana wanachukua hata nyumba za serikali kwa kuuziana eti wamezinunua, je hii si mali ya wananchi? Hii thamani ya hizi nyumba na value zake nani amepanga, Kama ukweli ungekuwepo wangapi wangenunua kwa pesa zao? Kama ni kweli serikali ingeiiza pesa kiasi gani kutokana na mauzo ya hizi nyumba na assets? Tangu lini taifa lolote likajengwa na watu kama ccm asilimia kubwa ya hawa so called viongozi ndio wenye uwezo wa kifedha Tanzania, what happened waligundua vitu fulani na kumiliki pattern mahali au walikuwa na mitaji sana wakapata faida? Majibu ni kwamba ccm kuanzia familia ya kikwete, mkapa na hawa wahuni william, nape na january wameiba nchini mwetu kufikia hapo walipo. This is our country we wananchi we have final say.

ccm you will pay for this...
 
Arafat,

Huu ni ushauri mzuri na ni njia ya kufanya mapinduzi haya yawe kwa maslahi ya umma.Kuna vipengele katika sheria za kimataifa ambavyo tawala nyingi za afrika zinakiuka. tujipange vizuri kabisa na hatuwapi sababu ya kuvuruga movement yetu,mambo mengi tuiseke hadharani ili wasipata mwanya wa kufanya sabotage,karibisheni watu wengi kwenye hii thread na ikiwezekana tufungue special page kwenye hizi social network wakati huo huo wale ambao mnafahamiana mliochangia thread hii tukutane at the end of the day tunafanya kitu practical.Watu wanaomia na kufa kila siku kwa sababu ya mfumo mbovu,mazingira mabovu ya kiutawala na kisiasa ni wengi mno.Let us solve this problem once and for all.the time is up nina matumaini kwamba nyoite mliochangia hii thread mnatamani Radical change,mapinduzi ya watu.
 
Mbona hatusongi mbele tunazunguka kichaka tu? Kwani tumerogwa, kama hivyo basi tuongeze na wachawi wa Tanzania tuionane nao pia, maana naona hatuna muelekeo wa kusonga mbele hapa?
 

Thanks Ben; Muhimu hapa siyo kuficha maana tunataka Mass na kama tukishindwa tujue ni Mass imeshindwa, muhimu hapa ni watu wakusimami na kuanzisha basi, nafikiri tuanze na tuwewazi bila kuficha maana hakuna haja ya kuficha kuwa tunataka kulikomboa Taifa, na ndio maana nimesema kuna haja ya kukutana makamanda wa Jeshi na kuwaeleza ukweli wetu huo.

Nadhani sasa tuangalie jinsi ya kufunga hii thread hili waingie watu wachache tu! ambao tunahitaji mawazo yao wengi hawana mawazo ya kufikiri mbele hapa, if possible Mods watusahie sasa hivi kulimit access ya hii thread ibaki na Mchungaji, Arafat na Ben then tutakalo fanya la awali ni kuainisha majina mengine ambayo pia yapate access; Mods assist us on this please muda unaenda kabla jua halijazama leo lazima tujue tuna anza vipi mikakati thabiti juu ya ukombozi huu.
 

Aise! Ndo hivi kuchoka ama? Lakini cha ajabu ni kuwa viongozi utafikiri wamepigwa ganzi....Hawajui mwanzo wa ngoma ni lele!

Sisi wengine hatuhitaji mtu kufanya mapinduzi we can command some of you na bila kujua mpo katika kutekeleza maagizo mnajikuta mnawajibika kufanya tunayoyataka......Watanzania msihofu wala msiogope hawa mafisadi watapigana wao kwa wao mpaka watakapo samabaratika nakujikuta wote wameangukia pua. Cha msingi ni sisi kujiandaa kuongoza nchi yetu maana ninachokiona ni kuwa tutakuwa taken by surprise; watu wengi wanategemeo ambalo halipo..kila mmoja akifikiri labda fulani ndo atafanya hiki na kile. Mungu akitaka kuangusha/ondoa uovu hafanyi hivyo kwa mara moja maana akifanya hivyo kila kitu kina paraganyika; lakini huwa anauondoa kwa hatua huku akitegemea wale aliowaandalia waweze kuona hicho na hivyo kujiandaa ku take positions; je ninyi mnao lalama kila moja amesha identify nafasi yake baada ya mfumo huu wa kifisadi kudondoka?.....Get prepared; Habari ndiyo hiyo!
 

dah! i feel something in my heart.
naunga mkono hoja, hii thread itafutiwe namna nyingine ya kuiendeleza, tuache maneno tutekeleze kwa vitendo tunayoyaandika.
 
Unajua Rev unaweza kuta dream ya JK ilikuwa kuwa RAISI na ameweza unaweza kuta kwake hayo mengine ni AOB sisi tutaendelea kuumiza vichwa while yeye ana amani ya roho na mwili.
So to him mission accomplished kifuatacho ni kula good time mwanzo mwisho si unaona ata majibu anayotoa juu ya mvua na ile alipoulizwa why tz is a still a poor country?
 

Inawezekana kabisa huyu Mk.were alijua ikulu ni sehemu ya kwenda kufanyia sherehe! Harusi, kupongezana bila kujua watanzania mil 40 wanategemea kuongozwa naye. Jamaa hana plan yeye ni mizaha tu
 
Asante masanilo kwa thread,asante zaidi arafati kwa mikakati! watanzania wengi tuna uchungu ila tunasubiri cheche tu ziwake! hakuna sehemu nzuri za kuanzia kama posta,kkoo,kinondoni, ubungo,buguruni,mbagala na kisha wote tukakutana pale kwny tahriri square zetu (mapendekezo) za MNAZI M1 NA PALE NBC,POSTA YA ZAMANI probably kwa wafanyakazi wa city centre! vikundi vidogo organised km watu 20 kutkea pande zote hzo can make changes! for sure alot of masses will be attracted mpaka kieleweke! aluta continua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…