ITV wangesema picha zinazofuata zinatisha...................
my take ni kwamba, Tanzania hakuna amani, kwa kuwa hakuna hali. Huu uliopo nio utulivu tu ambao kama hivi wananchi wanapochoka kutulia na kudai haki zao kwa nguvu zao wenyewe matokeo yanakuwa kama haya........
Nimesikitishwa sana na vifo vya hao waliouwawa kikatili,,,,,,,, i think its about time serikali ione hii nguvu ya uma uliochoka na kuanza kuwapa uma haki yao, wakianza na hili suala la katiba ambalo tayari nguvu ya uma haitaki mamlaka aliyopewa raisi........... iwapo italazimisha kuupitisha, kitakachotokea kitakuwa kibaya zaidi ya hiki, tena kwa hao watawala wenyewe......wananchi tumechoka tena tumechoka sana,,,,,,
Nilisikia watu wakizungumza kariakoo hivi....... ipo siku tutakuja kuwauwa kwa mikono yetu hao wanaongoza nchi wanavyotaka kina rostam azizi, manji na lowasa ili tupate haki zetu..........