Lighondi
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 581
- 184
Sishangai kama ni ukweli. Nanitaamini kuwa ni kweli hata ikiweje. Si tunawafahamu majibu yao.
Je kunatofauti gani na viongozi wakuu kama JK na Makinda kuhusisha kila wasichokipenda kusikia kikisemwa na dini, au CDM? hata maoni ya wanachi kuhusu mswada mbovu wa katiba, kila anayepinga ni CDM. Hawa nisawa na hao mapolisi hakuna tofauti
Wanashangaa maana hawakuzoea haya. Kwa sababu kupinga kwao ni kazi ya upinzani (Samahani kwa kutoka nje ya mada ya mauaji ya tegeta)