vyovyote vile iwe halali au siyo wana tegeta walilinda mali zao kikamilifu na wamenifurahisha sana.
Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Bw Deogratius Kamugisha amesima ofisi yake iliwasiliana na jesho la polisi hawakupata Msaada.
Wakampigia Said Mwema, Said Mwema akaambia wampigie Kova, Kova akasema analeta polisi.
Wananchi wakaona haitoshi, wakamtuma mtu (Ali Mgulu) aende polisi moja kwa moja kuomba msaada Ali akajibiwa na polisi "ngoja wakaune alafu huyo wamwisho atakaye pona aje atoe taarifa" na Diwani aliingia wakati polisi wanatoa hayo matamko.
SOURCE ITV news YouTube - Habari via ITV -Watu watano wapigwa mapanga mpaka kufa- Jeshi la polisi liko wapi?
Mwema ndiye wa kwanza anayepaswa ajiuzuru, haiwezekani wewe kama bosi wa polisi unapigiwa unasema mpigie kova, si umpigie wewe mwenyewe. kama gongolamboto mkuu wa majeshi anawataka wananchi waende mbali sijui km ngapi, mibasi ya jeshi imewekwa tu makambini, sasa si wangewapelekea usafiri wa kuwapeleka huo umbali anaoutaka, hili nchi watu wanapeana kazi tu
maneno mazito na nadhani yana ukweli sana tu, unless tunataka kumziba mdomomaneno mazito hayo mkuu. natamani uweke uthibitisho, au unyamaze tu tuendelee kuomboleza.
Mkuu naunga mkono maoni yako,sambamaba na hilo tujiulize panapotekea matukio kama hayo nani anapaswa kuwa wakwanza fika sehemu ya tukio waandishi wa habari au polisi?.Kama hakutakuwa na maelezo ya kutosha juu ya tuhuma hizi ni wazi kutegemea polisi kama walinzi wa usalama wa raia itakuwa haina maana!Kwani video hujaona? Mwananchi anaongea kwa maneno yake. Kama polisi hawata kanusha matamko hayo tutaendelea kuichukua kama ilivyo, hasa ukizingatia jinsi jeshi la polisi linavyopenda kuwahi kujikosha kwenye matukio kama haya.
now you attack me. shame on me. sawa.
media (hasa ya Tanzania) haiwezi kuwa uthibitisho wa mwisho. magazeti, redio na hata baadhi ya TV zimeripoti waliuliwa watu watano; gazeti la serikali yenu, Habari Leo limeripoti walikufa wawili.
shame on who? me or you?
kabla ya kumshambulia mtu inabidi ujiulize kwanza 'umejiandaa-andaaje' kabla ya kuweka post yako hapa jamvini.
jimbo la chadema hilo......!
maneno mazito hayo mkuu. natamani uweke uthibitisho, au unyamaze tu tuendelee kuomboleza.
Inatisha,ila wacha na hili liwe fundisho kwa serikali,kampuni za udalali,wananchi na wote. Kama ushawai kuvunjiwa nyumba ndio utajua hili lililofanyika, mimi hata kwa imagination zangu tu naona siku mtu akija kuvunja ninapoishi ndio utakuwa mwisho wake ama wangu.
Watanzania tusipende kubembeleza haki zetu, pia tukajifunze kuipigania haki; kwani ukicheka na nyani utavuna mabua.
Lakini kama ikihakikishwa sio haki,na mahakama au misingi ya sheria basi si riziki tukubali pia.
maneno mazito na nadhani yana ukweli sana tu, unless tunataka kumziba mdomo
Kwa kauli hiyo ya POLISI ni kwamba hawajali wananchi wanyonge wao wanawajali Mafisadi tu, kama wangepigiwa simu wakaambiwa kuna maandamano ya CHADEMA wangetoka mbio kama mbwa mwizi
semeni polisi sio eti serikali... Being too general haisaidii.. Watanzania tunatabia yakuchukua sheria mkononi na polisi wanatabia yakudharau na kuchelewa katika matukio.