Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,216
- 7,908
Si umeuliza US alifanya nini na nimekujibu! Wewe muiran wa buza uelewi kitu ila wairan wa Tehran wanaeliwa kifo cha soleimani kilivyowatikisa kiasi cha kugharimu maisha ya wairan wengine zaidi ya 50 waombolezaji. Ila cha msingi nimekujibu swali lako kwamba urusi hakufanya kitu ila US aliua Mtu mashuhuli namba mbili Iran na ambaye pia alikuwa ndo master plan wa mission kibao dhidi ya US.Nakubwa zaidi assasination ya IRAN Haijaifanya IRAN Kuanguka wala Kuyumba Kisiasa Kijeshi wala Kiuchumi Ila Kumewafanya Kuwaonesha wamarekani navibaraka wao kwamba wairan niwamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app