Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Uturuki ikifanya mambo ya ndio sivyo dhidi ya Urusi nchini Syria, nina uhakika Putin atalazimika kuchukua hatua ya ku-disable makombora aina ya S-400 yaliyo nunuliwa na Turkey kutoka Urusi.
Hana cha kumfanya russia huyo bibi.Erdogan ameipa syria wiki tatu iondoe blockage ya turkish observation post la sivyo erdogan Atachukua Hatua. View attachment 1348391
Hakuna NATO ya kipumbavu hivyo duniani. Turkey is on her own in this. Hesabu za Marekani zinaelekea kukamilika, maana kikwazo kikubwa cha Wakurdi kujitenga na kuanzisha taifa lai ni Turkey, ili kumdhoofisha Turkey hatua ya kwanza ni kudhoofisha Nahusiano yake na string allie wake ambaye ni Russia, kitu ambacho kimefanikiwa.Putin kaingia mtego wa NATO?
Uturuki ndo chambo, assad anatolewa madarakani bila ya kutegemea.
Please putin don't take the idlib bait, u a going to loose everything in syria,walk out of NATO dirty plan in idlib. Turkey will want nato to revenge for syria+ putin attak on turkey forces there.
NB., sio lazima uelewe hii coment.
NATO kamwe hawawezi kuungilia mambo ya Turkey ambaye hadi sasa anaonyesha uwendawazimu tu. Kabla hajajipeleka huko Syria aliwashirikisha NATO? Yeye ajue tu kwamba baada ya kuonyesha undumila kuwili, sasa amechezewa mchezo wa kumgombanisha na Russia , mchezo ambao ni lazima aucheze kwa panic ya hali ya juu sababu kwa namnaa yoyote ile hayupo tayari kuona Wakurdi wakifanikiwa, na Syria yupo tayari kusaidia hao Wakurdi.Uturuki ni taifa lenye nguvu kubwa kijeshi kwenye eneo hilo, hivyo si rahisi kuwashinda.
Kumbuka ni taifa mwanachama wa NATO yenye jeshi la pili kwa ukubwa (yaani askari wengi) baada ya Marekani.
Pia ina silaha za nyuklia zilizowekwa na Marekani enzi za vita baridi (ili kuikabili USSR) ambazo bado zipo hazijaondolewa japo hawawezi kuzitumia bila ruhusa ya Marekani.
Hata kiuchumi iko vizuri sana na uchumi wake una uwezo wa kuhimili vita bila kupata misukosuko mikubwa ndio maana kajiingiza kwenye migogoro mingi Kama Syria,Libya na Ugiriki (wa mpaka wa bahari).
Majeshi ya Syria na Rais wao wamepumbazwa na Russia kiasi kwamba wamesahau malengo yao.
Turkey atawanyoosha ni panya huyo anauma na kupuliza
Acha uongo wewe, Iran alishaitishia US mara kibao tu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]IRAN Haijawahi Kumtishia US Bali Hua Inafanya Ukweli
IRAN Iliteka Boti Ya US Ilokua Nawanajeshi Wake Mpaka Ilipoamua Yenyewe Kuwaachia Ndio Ikawaachia
IRAN Ilikamata Drones Nne Za US Mwaka 2011 Na Ikasema Haizirejeshi Kwao Nawao Ndio Wanazo Mpaka Obama Akaomba Warejeshewe Na Hawajarejesha Mpaka Namaliza Kuandika Hii Coment Labda Warejeshe Baada Ya Kumaliza Hii Comment
Mwisho wa mwaka jana IRAN Waliripua DRONE Ghali Ya US Nawakasema Kama Wao Ndio Waloripua Na US Akakana Mwisho Akakubali Kama Niwao walotunguliwa Drone Yao Na IRAN
Mwaka 1979 Balozi Na Waambata Wake Wakibaloz Wa US Walitekwa Nyara Na IRAN Karibu Mwaka Mmoja Na Nusu Nahawakuwarejesha Mpaka Walivyo Amua Wenyewe
Mwaka Huu Huu Nnaokwambia 2020M(TwentyTwenty)Kambi Mbili Zakijeshi Za US Nchini IRAQ Zimeshambuliwa Namakombora Ya IRAN Nawanajeshi Wake Mpakaleo Wanaumwa Sijui Ubongo Sijui Nani Japokua Wengine Waliuwawa Ila US Wanakana Sawa Tuseme Hawakuuwawa Hata Mmoja Kama Wanavyodai US Ila Kambi Yao Ilipigwa Mabomu Hata Wewe Uliona Kwa CNN BBC n.k Ila US Hana Alichokifanya
Nakupa Naziada Hii Waingereza Walitaka Kujifanya Wao Wanamuweza IRAN Mwaka Jana Meli Yao Ya STENA IMPERO(Hii Meli Baadae Waajemi Waliitoa Bendera Yamalkia Nakuiweka Bendera Ya IRAN Wakaipa Mpaka Jina Jipya Ila Mm Nika pendelea Kuiita Kwajina la STENA IRANERO) Na Hakuna Mpuuzi Yeyote Alothubutu Kufanya Jambo Mpaka Pale IRAN Ilipoachiliwa Meli Yake Ilokua Ikikamatwa Pale GIBRATER na Serikali Yapale Kwa Kuungwa Mkono na US na UK IRAN Akaiachia Ile Meli Wiki Mbili Mbeleni Baada Ya MELI Yake Kuachiliwa
IRAN Hajawahi Kumtisha US Wala Yeyote Ila Hua Anafanya Kweli Anaposema Atafanya Ila TURKEY Anachekesha sababu hawez kufanya analosema
Turkey Mwaka 2018/2017 Alikuja Akatungua Ndege Yakijeshi Ya RUSSIA Kama Mfuatiliaji Wamambo Najua Unajua Kilijiri Nn Kwa Erdogan [emoji23][emoji23][emoji23]
IRAN Hua Haitishii Ikisema Inatenda Usipende Kuifananisha IRAN na Mambo Yakipuuzi.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hapa Syria wameziba choose na jiko hakuliki wala hakuendekiTurkey observations posts on siegeView attachment 1348822
IRAN na ISRAHELL Wanatishana Kwani ISRAHELL Hajawahi Kusema Kama Ataripua Mitambo Ya Nyuklia Ya IRAN Lini Uliona Kajitoa Ufahamu Akafanya Huo Upuuzi Ambao Utamgharimu MileleAcha uongo wewe, Iran alishaitishia US mara kibao tu,
Kama kutenda hata uturuki alishadungua ndege ya russia, na hapa hoja yako ni kutishia na Iran hutishia mara kibao US na hata israel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unarukaruka tu kama bisi kikaangoni! Hoja yako ni uturuki kuitishia Russia, kwa akili yako unaona Russia hatishwi ila ndo hivyo katishwa.IRAN na ISRAHELL Wanatishana Kwani ISRAHELL Hajawahi Kusema Kama Ataripua Mitambo Ya Nyuklia Ya IRAN Lini Uliona Kajitoa Ufahamu Akafanya Huo Upuuzi Ambao Utamgharimu Milele
TURKEY Kweli Aliangusha Ndege Yakijeshi Ya RUSSIA Lakini Baada Ya Kuiangusha Alienda MOSCOW Kumramba Nyavo VLADMIR Maana Anajua Ambacho Kingefuatia Nabaada Ya Lile Tukio Ndio Unaona Mahusiano Yakaribu Ya RUSSIA na TURKEY (Lini Umewahi Kumsikia IRAN Anaomba Msamaha Kwa US Baada Ya Kufanya Aloyafanya ?)
Nikukumbushe Tu Hata US Anaitishia IRAN Mara Kibao Mpaka Juzi Mwanzoni Mwamwaka Huu Baada Ya Kuuliwa SOLEIMAN Turampet Alisema IRAN Wakithubutu Kuyagusa Maslahi Ama US Kwa Namna Yyte Ile Watapigwa Mpaka Wachakae Hatimae Kambi Zao Za US Zilizopo IRAQ Ziligeuzwa Jivu Na US Akaufyata Mpaka leo
Sina Sababu Yakukudanganya Ila Nna Kila Sababu Zakukueleza Ukweli IRAN Ana 80% Akisema Atafanya Anafanya Usimfananishe Nahao Wapuuzi
Maneno yakiwa mengi bila utekelezaji inakua sawa na uropokaji......
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapiga ndege ya watu akaomba msamaha angekaa kimya aoneNaona unarukaruka tu kama bisi kikaangoni! Hoja yako ni uturuki kuitishia Russia, kwa akili yako unaona Russia hatishwi ila ndo hivyo katishwa.
Kama US ambaye ndo kinara wa mambo mengi anatishwa sasa unashangaa nini urusi kutishwa!
Nimezungumzia kitendo uturuki kaungusha ndege ya urusi wewe unaleta mambo ya msamaha, kwan lijamaa likimgonga mkeo afu likaomba msamaha aibu kwa nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unarukaruka tu kama bisi kikaangoni! Hoja yako ni uturuki kuitishia Russia, kwa akili yako unaona Russia hatishwi ila ndo hivyo katishwa.
Kama US ambaye ndo kinara wa mambo mengi anatishwa sasa unashangaa nini urusi kutishwa!
Nimezungumzia kitendo uturuki kaungusha ndege ya urusi wewe unaleta mambo ya msamaha, kwan lijamaa likimgonga mkeo afu likaomba msamaha aibu kwa nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutisha nchi inaitaji ubavu gani? Sisi wenyewe donnar country tunawatisha mabeberu.Kwa taarifa yako, ndege ya kijeshi ya Urusi ilishambuliwa na F-16 jet fighter ambayo rubani wake alikuwa ni American not Turkish - in other words the brains behind shooting down of Russian bomber, were Americans.
Kitu kingine, Uturuki haina ubavu wa kuitishia Urusi, actually linapo kuja suala la Wakurdi atakuta America pamoja na Urusi wana support Wakurdi kuanzisha Taifa lao.
Inshu ni mturuki alidungua ndege ya Russia na Russia hakuna alichofanya, hizo zingine ni blah! blah!Hakuna bisi wala kiepe ila ukwel upo hv mke usifananishe na siasa Kapiga ndege ya watu akaomba msamaha angekaa kimya aone
IRAN Katwanga ndege akasema kama yy jalaf jamaa akakaa kimya US Kama Mtt Mchanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan US Alipodunguliwa Zake Alifanya Nn ?!...Inshu ni mturuki alidungua ndege ya Russia na Russia hakuna alichofanya, hizo zingine ni blah! blah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubwa zaidi General soleimani ambaye ndo alikuwa muiran mwenye ushawishi zaida baada ya ayatollah, pia mtu muhimu zaidi katika jeshi la Iran tayari kashatangulizwa kwa mola wake.
Kubwa zaidi General soleimani ambaye ndo alikuwa muiran mwenye ushawishi zaida baada ya ayatollah, pia mtu muhimu zaidi katika jeshi la Iran tayari kashatangulizwa kwa mola wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubwa zaidi assasination ya IRAN Haijaifanya IRAN Kuanguka wala Kuyumba Kisiasa Kijeshi wala Kiuchumi Ila Kumewafanya Kuwaonesha wamarekani navibaraka wao kwamba wairan niwamojaKubwa zaidi General soleimani ambaye ndo alikuwa muiran mwenye ushawishi zaida baada ya ayatollah, pia mtu muhimu zaidi katika jeshi la Iran tayari kashatangulizwa kwa mola wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi huu mjadala ukomee hapa kwenye hii koment yako maana siamini kama kuna koment nyengne inatakiwa ije hapa...Turkey hana uwezo wa kuzuiya chochote pale syria kisiendelee maana yupo vizuri kwenye maneno ila kivitendo sio mtu wa kuchukua maamuzi kama vile anavyofanya bwana mkubwa Assad.Na kuna kitu kwa sasa kipo ila naona Uturuki inashindwa kusoma alama za nyakati maana waasi kwa sasa wamepoteza hata uwezo wa kimbinu,uwezo wa kukitolea kupigana mpaka kifo na hata support kubwa kutoka kwa Raia na viongozi wa Dunia imepungua.
Ukiangalia jinsi Assad anavyochukua maeneo ya waasi kwa stahili isiyokuwa na upinzani mkubwa,ni wazi kabisa waasi kwa sasa wamegawanyika.juzi mkoa wa Salaqib umechukulia baada ya waasi kukimbia kwa kuogopa kufungiwa njia zote na vikosi vya Assad wakati Waturuki walikuwa wameongeza vikosi vyao vingi tu kwenye huu mkoa ila mwisho wa siku Waturuki walijikuta wapo peke yao.
Uturuki kwa sasa ni ngumu kuingia vitani na vikosi vya syria kwa sababu syria ya sasa ipo vitani huu mwaka wa 9,imepata uzoefu wa hali ya juu katika mambo ya kivita ndo maana kwa miaka ya sasa hata Israel anatumia akili nyingi sana anapoitaji kushambulia Syria maana mifumo ya Syria ni ya kizamani ila ni balaa kwa sasa
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app