Mapigano makali baina ya Syria na Turkey yatokea

Mm nataka Syria atoe kichapo kikali kwa hawa Uturuki iwe kama fidia na kuonyesha mfano ili waheshimiane

Sent using Jamii Forums mobile app
Uturuki ni taifa lenye nguvu kubwa kijeshi kwenye eneo hilo, hivyo si rahisi kuwashinda.

Kumbuka ni taifa mwanachama wa NATO yenye jeshi la pili kwa ukubwa (yaani askari wengi) baada ya Marekani.

Pia ina silaha za nyuklia zilizowekwa na Marekani enzi za vita baridi (ili kuikabili USSR) ambazo bado zipo hazijaondolewa japo hawawezi kuzitumia bila ruhusa ya Marekani.

Hata kiuchumi iko vizuri sana na uchumi wake una uwezo wa kuhimili vita bila kupata misukosuko mikubwa ndio maana kajiingiza kwenye migogoro mingi Kama Syria,Libya na Ugiriki (wa mpaka wa bahari).
 
MKUU

Turkey Pamoja Na Kua Na Uchumi Imara Kama Unavyosema Pamoja Najeshi Imara Pia Kama Unavyosema Hawezi Kuingia Vitani Na SYRIA Halaf Akapona Kwanza Ikitokea Jamaa Kaingia Vitani Huyu NATO Watamkataa Apambane Nahali Yake Halaf RUSSIA Wala Hataingilia Hii Vita Kwa Direct Atakua Anatuma Tu Silaha Anakaa Kando Kuangalia Maendeleo Na Wakishamaliza Vita Taifa La TURKEY Halitakaa Tena Lisimame Nakua Nawalau Kaubavu Kakuikazia NATO na US

Hakuna Vita Na Ikitokea Imetokea Itakua Ndio Mwanzo Wamwishu wa RURKEY SYRIA Hawanatena Chakupoteza.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda si mrefu, vikosi vya Erdogan vimeshambulia maeneo ya serikali ya Syria huko kaskazini mwa Syria. Mtifuano bado ni mkali sana.

Pia kuna taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa Uturuki imefunga mfumo wa electronic warfare (KORAL electronic warfare system) katika maeneo huko kaskazini magharibi mwa Syria ili kukabiliana na kuipooza mifumo ya radar na ulinzi wa anga ya Syria na Urusi.

1580940802034.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona Marekani hutishwa na Iran na huwa hucheki?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
IRAN Haijawahi Kumtishia US Bali Hua Inafanya Ukweli

IRAN Iliteka Boti Ya US Ilokua Nawanajeshi Wake Mpaka Ilipoamua Yenyewe Kuwaachia Ndio Ikawaachia

IRAN Ilikamata Drones Nne Za US Mwaka 2011 Na Ikasema Haizirejeshi Kwao Nawao Ndio Wanazo Mpaka Obama Akaomba Warejeshewe Na Hawajarejesha Mpaka Namaliza Kuandika Hii Coment Labda Warejeshe Baada Ya Kumaliza Hii Comment

Mwisho wa mwaka jana IRAN Waliripua DRONE Ghali Ya US Nawakasema Kama Wao Ndio Waloripua Na US Akakana Mwisho Akakubali Kama Niwao walotunguliwa Drone Yao Na IRAN

Mwaka 1979 Balozi Na Waambata Wake Wakibaloz Wa US Walitekwa Nyara Na IRAN Karibu Mwaka Mmoja Na Nusu Nahawakuwarejesha Mpaka Walivyo Amua Wenyewe

Mwaka Huu Huu Nnaokwambia 2020M(TwentyTwenty)Kambi Mbili Zakijeshi Za US Nchini IRAQ Zimeshambuliwa Namakombora Ya IRAN Nawanajeshi Wake Mpakaleo Wanaumwa Sijui Ubongo Sijui Nani Japokua Wengine Waliuwawa Ila US Wanakana Sawa Tuseme Hawakuuwawa Hata Mmoja Kama Wanavyodai US Ila Kambi Yao Ilipigwa Mabomu Hata Wewe Uliona Kwa CNN BBC n.k Ila US Hana Alichokifanya

Nakupa Naziada Hii Waingereza Walitaka Kujifanya Wao Wanamuweza IRAN Mwaka Jana Meli Yao Ya STENA IMPERO(Hii Meli Baadae Waajemi Waliitoa Bendera Yamalkia Nakuiweka Bendera Ya IRAN Wakaipa Mpaka Jina Jipya Ila Mm Nika pendelea Kuiita Kwajina la STENA IRANERO) Na Hakuna Mpuuzi Yeyote Alothubutu Kufanya Jambo Mpaka Pale IRAN Ilipoachiliwa Meli Yake Ilokua Ikikamatwa Pale GIBRATER na Serikali Yapale Kwa Kuungwa Mkono na US na UK IRAN Akaiachia Ile Meli Wiki Mbili Mbeleni Baada Ya MELI Yake Kuachiliwa

IRAN Hajawahi Kumtisha US Wala Yeyote Ila Hua Anafanya Kweli Anaposema Atafanya Ila TURKEY Anachekesha sababu hawez kufanya analosema

Turkey Mwaka 2018/2017 Alikuja Akatungua Ndege Yakijeshi Ya RUSSIA Kama Mfuatiliaji Wamambo Najua Unajua Kilijiri Nn Kwa Erdogan [emoji23][emoji23][emoji23]

IRAN Hua Haitishii Ikisema Inatenda Usipende Kuifananisha IRAN na Mambo Yakipuuzi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUUTurkey Pamoja Na Kua Na Uchumi Imara Kama Unavyosema Pamoja Najeshi Imara Pia Kama Unavyosema Hawezi Kuingia Vitani Na SYRIA Halaf Akapona Kwanza Ikitokea Jamaa Kaingia Vitani Huyu NATO Watamkataa Apambane Nahali Yake Halaf RUSSIA Wala Hataingilia Hii Vita Kwa Direct Atakua Anatuma Tu Silaha Anakaa Kando Kuangalia Maendeleo Na Wakishamaliza Vita Taifa La TURKEY Halitakaa Tena Lisimame Nakua Nawalau Kaubavu Kakuikazia NATO na US

Hakuna Vita Na Ikitokea Imetokea Itakua Ndio Mwanzo Wamwishu wa RURKEY SYRIA Hawanatena Chakupoteza.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtazamo mzuri sana. I hope hii postulate Turkey wanayo tayari. Huwa naamini kabla hawa jamaa hawajafanya lolote wanakuwa na postulates na alternatives zote mezani.. 360° thinking.
 
Pro IRAN Msha maliza kuomboleza kwan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]IRAN Haijawahi Kumtishia US Bali Hua Inafanya Ukweli

IRAN Iliteka Boti Ya US Ilokua Nawanajeshi Wake Mpaka Ilipoamua Yenyewe Kuwaachia Ndio Ikawaachia

IRAN Ilikamata Drones Nne Za US Mwaka 2011 Na Ikasema Haizirejeshi Kwao Nawao Ndio Wanazo Mpaka Obama Akaomba Warejeshewe Na Hawajarejesha Mpaka Namaliza Kuandika Hii Coment Labda Warejeshe Baada Ya Kumaliza Hii Comment

Mwisho wa mwaka jana IRAN Waliripua DRONE Ghali Ya US Nawakasema Kama Wao Ndio Waloripua Na US Akakana Mwisho Akakubali Kama Niwao walotunguliwa Drone Yao Na IRAN

Mwaka 1979 Balozi Na Waambata Wake Wakibaloz Wa US Walitekwa Nyara Na IRAN Karibu Mwaka Mmoja Na Nusu Nahawakuwarejesha Mpaka Walivyo Amua Wenyewe

Mwaka Huu Huu Nnaokwambia 2020M(TwentyTwenty)Kambi Mbili Zakijeshi Za US Nchini IRAQ Zimeshambuliwa Namakombora Ya IRAN Nawanajeshi Wake Mpakaleo Wanaumwa Sijui Ubongo Sijui Nani Japokua Wengine Waliuwawa Ila US Wanakana Sawa Tuseme Hawakuuwawa Hata Mmoja Kama Wanavyodai US Ila Kambi Yao Ilipigwa Mabomu Hata Wewe Uliona Kwa CNN BBC n.k Ila US Hana Alichokifanya

Nakupa Naziada Hii Waingereza Walitaka Kujifanya Wao Wanamuweza IRAN Mwaka Jana Meli Yao Ya STENA IMPERO(Hii Meli Baadae Waajemi Waliitoa Bendera Yamalkia Nakuiweka Bendera Ya IRAN Wakaipa Mpaka Jina Jipya Ila Mm Nika pendelea Kuiita Kwajina la STENA IRANERO) Na Hakuna Mpuuzi Yeyote Alothubutu Kufanya Jambo Mpaka Pale IRAN Ilipoachiliwa Meli Yake Ilokua Ikikamatwa Pale GIBRATER na Serikali Yapale Kwa Kuungwa Mkono na US na UK IRAN Akaiachia Ile Meli Wiki Mbili Mbeleni Baada Ya MELI Yake Kuachiliwa

IRAN Hajawahi Kumtisha US Wala Yeyote Ila Hua Anafanya Kweli Anaposema Atafanya Ila TURKEY Anachekesha sababu hawez kufanya analosema

Turkey Mwaka 2018/2017 Alikuja Akatungua Ndege Yakijeshi Ya RUSSIA Kama Mfuatiliaji Wamambo Najua Unajua Kilijiri Nn Kwa Erdogan [emoji23][emoji23][emoji23]

IRAN Hua Haitishii Ikisema Inatenda Usipende Kuifananisha IRAN na Mambo Yakipuuzi.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin kaingia mtego wa NATO.
Uturuki ndo chambo, assad anatolewa madarakani bila ya kutegemea.
Please putin don't take the idlib bait, u a going to loose everything in syria,walk out of NATO dirty plan in idlib. Turkey will want nato to revenge for syria+ putin attak on turkey forces there.

NB., sio lazima uelewe hii coment.
 
Hahah tangu 2011 mnalia lia tu kaingia mtegoni bla bla bla kibao.

dodge
 
Vita ya Syria sijawahi ielewa.
Huku Turkey anawapiga washirika wa USA wanaopigana na Assad. Huku Turkey anapigana na Assad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoa maoni katika hii koment yako c tuna ruhusiwa kama tunaruhusiwa ni hv
Putin kaingia mtego wa NATO.
Uturuki ndo chambo, assad anatolewa madarakani bila ya kutegemea.
Please putin don't take the idlib bait, u a going to loose everything in syria,walk out of NATO dirty plan in idlib. Turkey will want nato to revenge for syria+ putin attak on turkey forces there.

NB., sio lazima uelewe hii coment.
Hakuna mtego alouingia RUSSIA jamaa anavielewa hv vita kinaga ubaga nandio maana yupo bega kwa bega na wala hakuna vita itapiganwa hapo TURKEY Ataufyata Mkia Soon Ngojea Uone.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ya Syria sijawahi ielewa.
Huku Turkey anawapiga washirika wa USA wanaopigana na Assad. Huku Turkey anapigana na Assad

Sent using Jamii Forums mobile app
Uturuki Anapigana Na Washirika Wa US Wengi Wao Wakiwa Wakurdi Kwasababu Anajua Wakifanikiwa Watataka Kijieneo Kao Kama Wakurdi Wa IRAQ na Wakat Huo Huo Anapigana na Assad Ili Awe Na Ushawishi Zaidi Katika Eneon

Ila mwisho Kabisa Unakuta Hii Ishu Inamgeukia Mturuki Maana Ana Maadui Na Marafiki Wapande Hizo Hizo Maana Kna Upande Anakua Rafiki Wa RUSSIA na SYRIA Akiwa Adui wa US Na Upande Mwengine Inakua Kinyume Chake

Ila Erdogan Anachokitafta Atakipata.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom