Mapigano makali baina ya Syria na Turkey yatokea

Mapigano makali baina ya Syria na Turkey yatokea

Mturuki kachemka....beberu U.S. kamuingiza cha kike, ila WORLD politics tamu, tuone sasa beberu yupi ana silaha bora, testing site Syria....Syrians wanaume bana...Israel, U.S., Mercenaries sijui wa wapi, jeshi limesimama lipo...

Everyday is Saturday................. 😎
 
Hata mim ndicho nachokiona, uturuk wanaweza kuwa na vifaa vya kisasa zaid ila jeshi la syria lina uzoefu sana wa vita, mwaka wa nane hui wanapigana, uturuk ijiandae kupoteza askari wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye uwanja wa medani zana zinamatter sana USA alipigana na Viets waliopigana na mfaransa wakamkimbiza ila sababu USA alikuwa na zana kuliko Viets alifanikiwa kuua wapiganaji zaidi ya milioni moja wa kivietnam huku yeye (USA) akiwa kapoteza wapiganaji chini ya laki moja

Pointi yangu hapo ni kwamba kama Syria wamezidiwa kivifaa na mturuki watapoteza wapiganaji wengi tu

Na Mrusi hana uchumi wa kudonate sana vifaa kwa msyria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha wauane,uzuri pia wanazaliana sana. Kule marufuku kutumia uzazi wa mpango.
 
TURKEY Anaenda Kuharibu UCHUMI Wake Kwa Maslahi Wa USNATO Kwakijinga Kabisa

Atakula Kipigo Mpaka Achakae Huyu MBUZI

Sent using Jamii Forums mobile app
Vita na Syria ina madhara ila haiwezi kumfilisi Mturuki

Usifananishe na Wamarekani ambao wao hata vitani wanagharamia anasa ingawa Mmarekani huwa hafilisiki kwa sababu ya vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin kaingia mtego wa NATO?
Uturuki ndo chambo, assad anatolewa madarakani bila ya kutegemea.
Please putin don't take the idlib bait, u a going to loose everything in syria,walk out of NATO dirty plan in idlib. Turkey will want nato to revenge for syria+ putin attak on turkey forces there.

NB., sio lazima uelewe hii coment.
 
Taarifa ya jioni hii,jeshi la Syria liko kilomita 4 tu kutoka idlib,Happ Kati Kuna mji mmoja tu Sarmin kabla hajafika idlib,Endorgan anadai uturuki haitaruhusu Syria kukamamata maeneo zaidi ya idlib,
Lavlov anasema Turkey will be responsible for anything that happen in idlib.
Kuna taarifa magaidi wanataka kulipua chemical weapons na kusingizia jeshi la Syria,
Wakati huohuo marekani na washirika wametahadharisha kuwa watazuia majeshi ya Assad kushambulia idlib
Mturuki kachemka....beberu U.S. kamuingiza cha kike, ila WORLD politics tamu, tuone sasa beberu yupi ana silaha bora, testing site Syria....Syrians wanaume bana...Israel, U.S., Mercenaries sijui wa wapi, jeshi limesimama lipo...

Everyday is Saturday................. 😎

Jeshi lipi? La Syria au la Russia?? Naona unataka kumiss point hapo.
 
Hivi syria na uturuki wote imani moja?
Yanini machafuko
Mijinga sana, wote imani moja ila miaka yote makombora, ukanda wote huo hamna amani, mtutu wa bunduki na makombora huku wamevaa makanzu na mindevu.
Wataendelea kupiganishwa mpaka wakome.
Somalia yenyewe hapa, lugha moja, imani moja lakini ni mwendo wa mabomu tu.....
 
Hivo vitu havilingani
Uamuzi wa kumshambulia lissu ni wa jamhuri?
Kama ni watu binafsi hio haina shida kwakuwa hata ndugu tumbo moja wanauana,lakini kama ni jamhuri ingekuwa ajabu kwakuwa tunaongozwa na katiba na bunge.
Hata ivo serikali ya kitanzania haina dini kwahiyo maamuzi yake hayaBase kidini..
Lakini kwa hao ndugu apo juu the vice versa is true,,,kitu ambacho kinanifanya niquestion who is who.
Syria au Uturuki ni nchi za dini toka lini mkuu ?
 
Ata ulaya kipindi icho walikua wakitumia imani 1
Mijinga sana, wote imani moja ila miaka yote makombora, ukanda wote huo hamna amani, mtutu wa bunduki na makombora huku wamevaa makanzu na mindevu.
Wataendelea kupiganishwa mpaka wakome.
Somalia yenyewe hapa, lugha moja, imani moja lakini ni mwendo wa mabomu tu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mijinga sana, wote imani moja ila miaka yote makombora, ukanda wote huo hamna amani, mtutu wa bunduki na makombora huku wamevaa makanzu na mindevu.
Wataendelea kupiganishwa mpaka wakome.
Somalia yenyewe hapa, lugha moja, imani moja lakini ni mwendo wa mabomu tu.....
Ukirazimisha kichwa chako kuwaza upumbavu ipo siku utakuwa mpumbavu kweli.
Hivi mwana siasa umwambie mambo ya imani mbele ya masilai yake ana muda na wewe ?
Mbona jiwe kila siku anawapiga lisasi, kuwateka na kuwaweka gerezani wale wote wanao mpinga wakati ni imani moja?
Au ww mbona umejificha nyuma ya ID feki unacho ogopa ninini wakati nchi inaongozwa na mgaratia mwenzio?
 
Mturuki kachemka....beberu U.S. kamuingiza cha kike, ila WORLD politics tamu, tuone sasa beberu yupi ana silaha bora, testing site Syria....Syrians wanaume bana...Israel, U.S., Mercenaries sijui wa wapi, jeshi limesimama lipo...

Everyday is Saturday................. 😎
Assad ana jeshi imara na tihifu sana, hili jeshi linapigana more than 7 years now, hawarudi nyuma wao ni kusonga mbele tu, wanapigana na makundi ya kigaidi (isis, alqaida, oppositions), USA, Israel, Turkey etc

Syria forces hawa ni wanaume halisi, kama wameweza pambana miaka yote iyo sioni Turkey kuishinda kuichukua Idlib kwa namna yeyote ile

Assad amshukuru sana Vlamir Putin, huyu ndio rafiki wa ukweli kwake




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom