Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,797
- 182,966
Hakuna sasa, ni mapigano na wewe tu.Unaambiwa una mapigano yako binafsi unataka kupigana na mimi, hem kwanza pigana na huyo aliyeko kwa bongo yako, mimi tutapigana ukishapata mshindi huko.
Hakuna sasa, ni mapigano na wewe tu.Unaambiwa una mapigano yako binafsi unataka kupigana na mimi, hem kwanza pigana na huyo aliyeko kwa bongo yako, mimi tutapigana ukishapata mshindi huko.
Ndege mdinya kwenye moja na mbiliKisaikolojia hii hali inaitwa cognitive dissonance, yaani mkinzano unaotokea kwenye akili yako pale unapokuwa na imani mbili zinazopingana au unachokipenda au kukiamini kinaposhindwa kuendana na tabia yako.
Fayaaa 🔥Ndege mdinya kwenye moja na mbili
Okay 👍Karibu sana.
Msamaria sio!!!!
Sijui nacheka nini🤣Fayaaa 🔥
Ukicheka ndiyo furaha yangu.Sijui nacheka nini🤣
Sawa karibu kwenye madaUkicheka ndiyo furaha yangu.
Kichwani mwako mbona kuna battle kubwa tu, malizana nayo kwanza🤣Hakuna sasa, ni mapigano na wewe tu.
Nimeshakaribia kwenye hii mada nzuri ihusuyo psychology.Sawa karibu kwenye mada
shukran mkuu nitalifanyia kaz maana huwa najilaumu mfano mwaka jana kunandu gungu anaishi mwanza alinipigia simu akanieleza anashida ya lak 2 na nusu nikashinda kukataa ikanibid nimutumie hela ambayo ni ya mtaji wa biashara yangu mpak ikapelekea kuyumba kwa biashara mpaka leo huwa najilaumu kwa kukosa msimamoAnza kujifunza now kusema hapana bila kumuumiza mtu,kuna lugha unaweza kutumia ambazo zinamaanisha hapana lakini zinapunguza uzito wa hiyo hapana
Mathalani,kuna michango ya harusi ambayo unatakiwa uchangie na hela huna,badala ya kusema sitaweza kuchangia,waeza sema Kwasasa nipo vibaya lakini ngoja nipambane nione nitafikia wapi? kwahiyo kwanza umeshamueleza mhusika kwamba huna hela ila utajitahidi kutafuta ikishindikana basi, so kwa kila situation utajua namna ya kuweka hapana ambayo inaning'inia
Pole mkuu ungesema kwa mapanaKama Kuna mtu amewahi kushinda hii vita dhidi ya social anxiety atueleze aliishinda namna gani atasaidia wengi
Asante sanaNimeshakaribia kwenye hii mada nzuri ihusuyo psychology.
Na kama ujuavyi Ndege Mdinya nimebobea katika masuala ya saikolojia 💪
shukran mkuu umenifumbua!Ni kwasababu unahofia atakuona je baada ya kumwambia kua huwezi hilo jambo lake
Lakini ukweli ni kwamba kusema hapana ni bora zaidi kuliko kutoa matumaini fake
Akikujia mtu anahitaji umsaidie jambo fulani ni kwasababu amekuamini na anadhani atasaidika
Lakini hiyo haina maana lazima umsaidie kwa namna anayotaka hapana badala yake unaweza kumpa mawazo au njia ya kutatua hata kama wewe umeshindwa kumsaidia lakini huo ni msaada tosha
CC: Marcostilone
Tuanze wapi?Asante sana
haya sasa onesha onyesha ubobevu wako nipo hapa na kalamu na karatasi
😢😢 aisee pole sana chukua hatua sasa history ya zamani izikeshukran mkuu nitalifanyia kaz maana huwa najilaumu mfano mwaka jana kunandu gungu anaishi mwanza alinipigia simu akanieleza anashida ya lak 2 na nusu nikashinda kukataa ikanibid nimutumie hela ambayo ni ya mtaji wa biashara yangu mpak ikapelekea kuyumba kwa biashara mpaka leo huwa najilaumu kwa kukosa msimamo
Asante karibushukran mkuu umenifumbua!
Kumbe hujasoma mada uwiiTuanze wapi?
well done gentlemanKisaikolojia hii hali inaitwa cognitive dissonance, yaani mkinzano unaotokea kwenye akili yako pale unapokuwa na imani mbili zinazopingana au unachokipenda au kukiamini kinaposhindwa kuendana na tabia yako.

kwenye mazingira au matukio ya userious mathalani kwenye vikao vya ofisini au sehemu yoyote utakayohitajika utoe mawazo yako huku watu wakiwa attention kukusikiliza wewe.Pole mkuu ungesema kwa mapana
Unapata hofu au woga kwenye nyakati zipi yaani?