Mapigano dhidi yako mwenyewe 💪

Mapigano dhidi yako mwenyewe 💪

Mkuu sio kwamba wewe hauna msimamo.

Bali wewe ni mtu muelewa yani unaelewa tatizo la mwingine kama lako na unapenda kusolve problems ambalo sio jambo baya.

Ila kwa bahati mbaya unasolve matatizo yawatu wasio jielewa, ndiyo maana unakuja kuangukia kwenye majuto kwamba why nilisolve tatizo then matokeo yake napata hasi sio chanya.

Point nini mkuu solve your own problems achana na matatizo yao achakuwa muelewa kwenye matatizo yao.
nashukuru mkuu kwa ushauri mzuri
 
Vita dhidi ya Mimi wa Nyuma ya pazia na yule Anaesimama stejini(kwenye kadamnasi)
Nina mengi ninayoweza kuyafanya na kuyafahamu ambayo ni yenye manufaa kwangu na kwa Jamii nzima ila Huwa nayaficha na Kuyazuia yasitokee kwenye kadamnasi.
Attention inakuwa divided with one superficial thing Not to show who I really am Vs who I pretend to be , many times I slip WATU wanacatch na naamua kuhama mazingira Kabisa huko inakuwa the same , so yhe Real me always wins .

Kisha huwa ninakaa na kutafakari Kuhusu Bwana Jonah Aliyevamiwa aende Ninawi kisha yeye akapanda merikebu na kwenda Tatanishi huwa ninachoka.
 
Sawa mkuu
Kisha huwa ninakaa na kutafakari Kuhusu Bwana Jonah Aliyevamiwa aende Ninawi kisha yeye akapanda merikebu na kwenda Tatanishi huwa ninachoka.
Hebu nipe hadithi kuhusu hii ya Ninawi kama hutojali
 
kweli mkuu kwanza nimejihisi mwenye furaha baada ya kupata mawazo yenu hapa nimeajifunza kitu kiufupi mmenifundisha mbinu za kushinda vita vyangu kuliko ningepipana kimoyo moyo
Ukishajitambua na ukakubali kubadilika, nusu ya vita tayari unakuwa umeshinda, hatua ndogo ndogo huzaa mabadiliko makubwa.

All the best Mkuu.
 
Sawa mkuu

Hebu nipe hadithi kuhusu hii ya Ninawi kama hutojali
Ninawi na Nabii Yona – Muhtasari

Ninawi ulikuwa mji mkuu wa Dola ya Ashuru, uliosifika kwa utajiri, nguvu za kijeshi na uovu mkubwa. Kwa sababu ya maovu yao, Mungu alimtuma Nabii Yona kwenda kuwaonya kwamba mji ungeangamizwa ndani ya siku 40 ikiwa hawangetubu.

Mwanzoni Yona alikataa kwenda na akajaribu kukimbia. Baada ya kupitia tukio la kumezwa na samaki mkubwa kwa siku tatu na usiku tatu, alitii agizo la Mungu na kwenda Ninawi.

Alipofika, alitangaza ujumbe wa toba. Cha kushangaza, kuanzia mfalme hadi watu wa kawaida walitubu, wakafunga na kubadili mwenendo wao. Mungu akaona toba yao na akaahirisha adhabu aliyokuwa ametangaza.
 
Ooh sawa kaka so ilikuaje aka amriwa na Mungu aende sehemu A yeye akaenda B ?
Jonah Alikaidi amri Ya Mungu, Kisha Akapanda merikebu kupelekea Tarshish instead of Nineveh (Ninawi)

Wakiwa katikati ya bahari Chombo likapata dhoruba, Waliokuwa mke ndani wakapiga kura/Ramli/wakafikiri kwa kina Ya kubwa huyu huenda Kwa hakika na yakini kubwa ndiye aliyetuletea Zahama yote hiyo kisha wakatupa baharini ...

Napendekeza ukisoma kitabu cha Jonah kwenye biblia kwa uelewa zaidi
 
Back
Top Bottom