The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,900
- 117,137
Wanaopigana vita dhidi yao wao wenyewe ni watu wasiojitambua na ni watu wasiojua wanataka nini kwenye maisha yao,
Ni watu wanaoendeshwa zaidi kwa hisia kuliko akili,
Sijawahi kupigana vita dhidi yangu na wala haitatokea,kila ninachokifanya ni maamuzi yangu mimi kama mimi,sijawahi kujuta na wala sitakuja kujuta coz kila jambo hua na thamani kwa wakati wake,
Live the life you love,
Love the life you live.