Mapigano dhidi yako mwenyewe 💪

Mapigano dhidi yako mwenyewe 💪

Sure hizi emoji zinakufanya mleta mada aonekane ni mtoto to some extent, au ana utoto fulani... Maana kuzitumia katika context ya mada sensitive kama hii inakua kama unachukilia mzaha. Ingekuwa hoja za mapenzi sawa
Ni kweli lakini naona kama ameonyesha kamaindi kiana, nimemsifia kwa uzuri tu lakini kaishia kuniambia ''Binadamu '' na asante. Sasa unakuwaje bora pasipo kusahihishwa ?
 
Of course me sijawahi kufuatilia nyuzi zako. Lakini leo nilivyo soma hii nimeona umegusia jambo kubwa sana ambalo watu wengi tunapitia especially self discipline, self control, Faith, bad habits, positive attitude n.k.

 K
iufupi hili jambo ulilo_liandika hapa ni tiba lakini pia ni jambo muhimu na pana sana (nimewahi kufundisha mahali kuhusu hili jambo watu wengi sana walipona vidonda walivyo kuwa wana jiumiza wao wenyewe bila kujua). So hongera sana.
Asante sana mkuu
Na hongera mnoo kuponya watu

Yes urembo sio muhimu ukiwa na uwezo mzuri wakufikiri kama hivi unakuwa umesha kamilika.
Hapa ni kama unanichokoza niseme kitu ila naruka hiki kihunzi

Una jua sana kumpeleleza mtu mkuu👏🤣 anyway karibu sana kwenye mijadala zaidi
 
Kijana nimesema una ni attack ?
please
Unajua kabisa mimi na wewe hatujawahi kua na mitazamo sawa

Na hilo nimekili mara nyingi ikiwemo kujiepusha na mada zako hata quote zako

Na hili ni ombi lingine naleta kwako kwa mara ya pili tafadhari sana sijisikii happy kujibishana na wewe popote 🙏
Unajua Unachekesha sana rafiki
Ni wapi nimesema unabishana? 😂
Itakua una chuki binafsi sio bure. Daah aisee
 
Ni kweli lakini naona kama ameonyesha kamaindi kiana, nimemsifia kwa uzuri tu lakini kaishia kuniambia ''Binadamu '' na asante. Sasa unakuwaje bora pasipo kusahihishwa ?
Sure thing
 
Mi napigana na hii pisi tu...😋
20260627_091705.jpg
 
Utatumia njia gani heb share
moja ya tabia ambayo huwa natamani kuishinda ni siwezi kusema hapana yaan mutu wakalibu akiniambia jambo hata kama sina uwezo nalo nakubal then baady nabak kujutia uamzi wangu mwenyew
 
Mapambano magumu zaidi huwa yapo kichwani, adui mkubwa wa mtu ni yale mazoea aliyoyahalalisha kwa miaka mingi.

Kuna kipindi niligundua kuwa watu wengi huwa wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na wengine, lakini wanashindwa kupambana na nafsi zao wenyewe, mfano rahisi, kila siku mtu anasema anataka kufanikiwa lakini kila kukicha anapoteza masaa mengi kufuatilia maisha ya watu wengine, nani kaingia online, nani katoka, nani kamjibu nani, hii ni silent addiction mbaya sana, unakuwa mtu wa kujenga maisha ya wengine kichwani kwako huku ya kwako yakiwa hayaeleweki zaidi.

Mapigano dhidi yako mwenyewe ni maamuzi unayoyafanya kila siku hata pale ambapo hakuna yeyote anayekuona, discipline is choosing what you want most over what you want now.

Kuna msemo unasema, until you conquer yourself, every other victory is temporary, unaweza ukawashinda watu kwenye mabishano, ukaonekana mjanja, lakini kuna vitu vidogo tu kukuhusu vikakushinda mfano kushindwa kudhibiti hasira yako, kushindwa kudhibiti matumizi mabaya ya fedha n.k

Kwa mtazamo wangu, ushindi wa kweli unapimwa kwa ile idadi ya tabia mbaya ulizoweza kuzizuia ndani yako, mtu anayejitawala ni hatari mno kuliko anayewatawala wengine, kwa sababu hakuna yeyote anayeweza kumzuia kufika popote anapotaka.

Ukiweza kuzishinda tabia ambazo zinakurudisha nyuma mara kwa mara,dunia itakuwa na kazi ngumu sana kukushinda.
Fact
 
moja ya tabia ambayo huwa natamani kuishinda ni siwezi kusema hapana yaan mutu wakalibu akiniambia jambo hata kama sina uwezo nalo nakubal then baady nabak kujutia uamzi wangu mwenyew
Anza kujifunza now kusema hapana bila kumuumiza mtu,kuna lugha unaweza kutumia ambazo zinamaanisha hapana lakini zinapunguza uzito wa hiyo hapana

Mathalani,kuna michango ya harusi ambayo unatakiwa uchangie na hela huna,badala ya kusema sitaweza kuchangia,waeza sema Kwasasa nipo vibaya lakini ngoja nipambane nione nitafikia wapi? kwahiyo kwanza umeshamueleza mhusika kwamba huna hela ila utajitahidi kutafuta ikishindikana basi, so kwa kila situation utajua namna ya kuweka hapana ambayo inaning'inia
 
moja ya tabia ambayo huwa natamani kuishinda ni siwezi kusema hapana yaan mutu wakalibu akiniambia jambo hata kama sina uwezo nalo nakubal then baady nabak kujutia uamzi wangu mwenyew
Ni kwasababu unahofia atakuona je baada ya kumwambia kua huwezi hilo jambo lake

Lakini ukweli ni kwamba kusema hapana ni bora zaidi kuliko kutoa matumaini fake

Akikujia mtu anahitaji umsaidie jambo fulani ni kwasababu amekuamini na anadhani atasaidika

Lakini hiyo haina maana lazima umsaidie kwa namna anayotaka hapana badala yake unaweza kumpa mawazo au njia ya kutatua hata kama wewe umeshindwa kumsaidia lakini huo ni msaada tosha

CC: Marcostilone
 
Anza kujifunza now kusema hapana bila kumuumiza mtu,kuna lugha unaweza kutumia ambazo zinamaanisha hapana lakini zinapunguza uzito wa hiyo hapana

Mathalani,kuna michango ya harusi ambayo unatakiwa uchangie na hela huna,badala ya kusema sitaweza kuchangia,waeza sema Kwasasa nipo vibaya lakini ngoja nipambane nione nitafikia wapi? kwahiyo kwanza umeshamueleza mhusika kwamba huna hela ila utajitahidi kutafuta ikishindikana basi, so kwa kila situation utajua namna ya kuweka hapana ambayo inaning'inia
Exactly mkuu umesema vyema
 
well done ndugu mdau,

katika ulimwengu wa roho tunaita mafarakano nafsini, ni vita ambayo mpigaji na mpigwaji ni wewe mwenyewe.

In fact,
ikiwa imotional stability ya mtu ni madhubuti physically and mentally, ni hakika kwa Neema na Baraka za Mungu mtu huyo anaweza kua mshindi wa kila vita iwe ndani au nje ya nafsi yako.

walio dhaifu katika kudhibiti hisia zoa, hujikuta wakishindwa vita nyingi tena rahisi sana mapema mno. Mathalani unaweza kumkuta kijana akiona mbuzi au kuku wakijamiina, nae mbiombio bafuni anaenda kuchukua sheria mkononi na kujimaliza kwa sabuni.
Huku ni kushindwa vita vyako mwenyewe vya kisaikolojia vibaya mno.

I appreciate you very much ndugu mdau, God bless you 🐒
Kisaikolojia hii hali inaitwa cognitive dissonance, yaani mkinzano unaotokea kwenye akili yako pale unapokuwa na imani mbili zinazopingana au unachokipenda au kukiamini kinaposhindwa kuendana na tabia yako.
 
Back
Top Bottom