Pepo la vitasaMapepo ya kuanzisha uzi wa mapepo kwa mapepo. Mapepo ya kuvuma kusini kwenda kaskazini, ila kuna pepo moja jf ambalo linashinda yote nalo ni pepo la uongo. Wana jf n waongo wakutupwa yaan kabsa mtu anakwambia anatembelea v8 na huku kila cku mnabanana kwenye daladala mara anaishi kwa mansion kubwa lina kila kitu ndan na huku ni mtu wa gongo la mboto
pepo la vizinga, pepo la matusi, pepo la fake id's, (hili hata mimi ninalo) pepo la fake genders yaan mtu ananuka harufu ya mbuz anakuja jf kuwa n ke. God have mercy upon us. Karibu konyagi bro Mshana JrPepo la vitasa
๐๐๐nipe location fasta .. Mtori, supu nyqgi ikifika saa sita tumeshatoa lock mbaya tunasaka mdudu๐pepo la vizinga, pepo la matusi, pepo la fake id's, (hili hata mimi ninalo) pepo la fake genders yaan mtu ananuka harufu ya mbuz anakuja jf kuwa n ke. God have mercy upon us. Karibu konyagi bro Mshana Jr
Una pepo (kapepo)la usahaulifu.Umetueleza "na mwenye pepo hajijui" lakini wewe umejijua unalo la nyegez mshindo.Pepooooz!Uzuri kila mtu ana pepo lake na mwenye pepo hajijui kuwa ana pepo. Sasa basi unaonaje baba mshana ungetulia kwanza ili pepo langu la nyege mshindo liniendeshe endeshe niwagegede kidogo wake za watu?
Hilo halina tiba ni pepo la ujana ni pepo la kiumeni.. Lina baraka zake๐คฃ๐๐ฟUzuri kila mtu ana pepo lake na mwenye pepo hajijui kuwa ana pepo. Sasa basi unaonaje baba mshana ungetulia kwanza ili pepo langu la nyege mshindo liniendeshe endeshe niwagegede kidogo wake za watu?
Hili ni Pepo kweli ๐๐Utajiri ....
Ukileta story yako ya ufukara humu , jumbe utakazopewa ni aidha kuchekwa ama ule ushauri wa kuonewa hruma as If kila mtu ni tajeeer.
...njoo kwenye uhalisia sasa...pangu pakavu tule mchuzi