Jamaa angu mbna unataka kuharibu thread yetu.... Ww unapenda sana kulumbana mambo ya dini na sijawahi kuona comments zako kwenye thread za kawaida ww kuponda dini ya wenzako tu...k
Hatupaswi kwenda huko ! Hii post haimaanishi kuleta kashfa kejeli na dhihaka za kidini uongo wizi ulevi zinaa na roho ya kisasi havina dini rangi wala kabila