Magnesium
JF-Expert Member
- Nov 9, 2014
- 317
- 185
- Thread starter
- #21
Mngojee akiwa amevaa nguo za kiraia ndio umtongoza,akiwa na magwanda yake ukimtongoza tu utakuwa umemvunjia heshima kwa mujibu wa sheria za jeshi la polisi na ana uwezo wa kukuarest kama akiamua na ukashitakiwa,hivyo kuwa makini mkuu
Mkuu hiyo ni sheria kabisa kwamba asipigwe kamba akiwa kwenye 'Yunifomu'?