Nijuavyo mm hao hawanatofauti na watu wengne hata wao wanatamani kama wafanyavyo kaka zao kwahyo hatawao wanapigwatu kitaa,fuatilia walio kazini muda mrefu utakuta wanawatoto wakiwa hawana waume wa ndoa kwahiyo wanapigika tu,ila kwahuyo unaemsifu naamini lazima kuna bosi anammega tahazari ikivuja kuwa unamtokea ujue utapewa kesi na utapotea mtaani.