Mapenzini na askari polisi au wajeda wanawake

Mapenzini na askari polisi au wajeda wanawake

Habari za leo wanajamvi? Natumai mu wazima... Jaman leo nimekuja na hili swali.. Hivi inatuwia vipi sisi wanaume kuwatongoza askari polisi au wanajeshi wanawake?
Hapa mtaani kwetu kwa juu kidogo kuna kituo cha polisi sasa kuna askari mmoja wa kike ni mgeni (nadhani ni wale waliomaliza mafunzo miezi kadhaa iliyopita) kahamia hapa yaani ni kisu balaa.. Ila sasa ugumu unakuja nikishamuona tu ndani ya gwanda naona kama nikienda kuimbisha ntaambiwa 'Haroo unareta utani na jeshi ra Porisi eeh? Haya twende kituoni ukarare sero'.
Yaan huwa najiuliza yan sisi raia wa kawaida hatuwez kuwamiliki na kuwagegeda hawa askari polisi au wale wanaovaa ya mabaka mabaka wa kike? Loooh!!!!
Jiamini tu. Wameumbwa kwa ajili yenu! Magwanda hayo yasikutishe sana....yanavuka tu with right skills, resources and timing.
 
Wa kawaida hao mimi kuna mmoja ananisumbua mpaka kesho ila ndo hvyo mzuka nae sina
 
Hao mkuu wanataka mtu mkakamavu na lazima ugangamale kiume....kabla ya kupewa papuchi mnaaaza kwata na gwaride...mguu pande mguu sawa...nyumaaaa geuka.....hatua mbili...nne nyuma......mwendo wa kijeshi kuelekea kitandani......romance sio sehemu ya maandalizi ya game.....kati kati ya game anaweza akachomoa dushe baada ya kupokea simu kutoka kwa mkuu wa kazi....inabidi umalizie mwenyewe na nyeto.........vile vile usiwe na wivu maana makamanda watakuwa wanakusaidia sana kwenye kugegeda...............inabidi uwe na moyo wa karatasi....ni hayo tu kwa ufupi......

Duh! Mbavu zangu majeruhi
 
umeongea kweli... Yaan sijui kwann askari wa kike hawawapendi askar wa kiume wanadai ni malaya sana hawatulii na mwanamke mmoja, wakat huo hata wao ni vicheche mno. Ndio maana walio wengi hawaolewi

ngoja ntafute picha moja hivi uliyowafukuzisha watu kazi ili niamini maneno yenu!
 
polisi tu?mapenzi hayanaga komandoo,wala raisi wala nan sembuse polisi aaaahh m nikipenda natiririka tu hata akinirukisha kichura poa tu ila ipo siku atae
kubali..mkuu
 
Anasomeshwa simba jike na ukali wake itakuja kuwa askari ?Ila usikubali kufungwa pingu.
 
Habari za leo wanajamvi? Natumai mu wazima... Jaman leo nimekuja na hili swali.. Hivi inatuwia vipi sisi wanaume kuwatongoza askari polisi au wanajeshi wanawake?
Hapa mtaani kwetu kwa juu kidogo kuna kituo cha polisi sasa kuna askari mmoja wa kike ni mgeni (nadhani ni wale waliomaliza mafunzo miezi kadhaa iliyopita) kahamia hapa yaani ni kisu balaa.. Ila sasa ugumu unakuja nikishamuona tu ndani ya gwanda naona kama nikienda kuimbisha ntaambiwa 'Haroo unareta utani na jeshi ra Porisi eeh? Haya twende kituoni ukarare sero'.
Yaan huwa najiuliza yan sisi raia wa kawaida hatuwez kuwamiliki na kuwagegeda hawa askari polisi au wale wanaovaa ya mabaka mabaka wa kike? Loooh!!!!

TAHADHARI...

Kuwa makini akiwa anafukuziwa na mjeda mwenzake acha kabisa katafute raia wenzako vinginevyo utatiwa mimba bure na huyo askari wa kiume anayemfukuzia. kutiwa mimba maana yake ni kuwa jela ndo makazi yako au kuwa rafiki wa baadhi ya askari wa kiume ili ukinukishwa noma wakutete.

siku zote askari wote ni wanaume na raia wote wanawake...
 
Tatizo la hao hawataki longo longo...streit kwenye point Sio unajua mimi nakupendaga nakupenda sana we hujui tu..naomba kampan yako sijui umenitokea usingizini nk

We mwambie tu lengo lako kama ni frend mechi tu then kila mtu kivyake au una unataka piga tu mwambie mimi nataka tupashane joto na kwa sasa hamna future

Kama unataka kuoa kabisa mweleze hapa ndoa ipo ila lazima uitolee jasho kwanza promis

Wanaelewa na hawana hiana kama ana nafasi ya kukupokea kwani wakezoea lugha rahisi na ya direct
 
Tatizo cku akikukuta na dem mwingine ujue lazima uende sero aiseeee
 
Uaskari haumfanyi kuacha kuwa mwanamke. Wanatamani kama wengine tu. Je umewahi kumwona bila uniform?
 
Aise watu mnamwaga mauzoefu tu humu ndani...
 
hamna lolote tena hao waliomaliza mafunzo na kwao ni huko bara cjui huwa hawana hiyana maisha magumu kwa kweli nlimpata mmoja simsahau askari lkn amefunzwa unyagoni hta apige simu rais dushe halitolewi babuu!!
 
Hivi si kuna sheria ya raia kutomuoa askari? Na mkipendana, kuna fomu unajaza yenye masharti magumu? Mwenye taarifa anisaidie, maana..
^^
 
uoga wako tu.....nshatafuna watatu na mmoja alikuwa occid...tena wanahamu ya kutongozwa but wait wana waogopa....
 
Naona mnachokiogopa apo ni magwanda tu ila wengine wanagawa tu kama big g njoo kwangu nina magwanda ila nshakukubalia kabla ata ujaniambia
 
uoga wako tu.....nshatafuna watatu na mmoja alikuwa occid...tena wanahamu ya kutongozwa but wait wana waogopa....

we jamaa ni muongo ata cheo chake hujui kukiandika afu unasema ulitafuna sifa za KI.JI.N.GA...........
 
Back
Top Bottom