Mapenzini na askari polisi au wajeda wanawake

Mapenzini na askari polisi au wajeda wanawake

Magnesium

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
317
Reaction score
185
Habari za leo wanajamvi? Natumai mu wazima.

Jamani leo nimekuja na hili swali. Hivi inatuwia vipi sisi wanaume kuwatongoza askari polisi au wanajeshi wanawake?

Hapa mtaani kwetu kwa juu kidogo kuna kituo cha polisi sasa kuna askari mmoja wa kike ni mgeni (nadhani ni wale waliomaliza mafunzo miezi kadhaa iliyopita) kahamia hapa yaani ni kisu balaa.

Ila sasa ugumu unakuja nikishamuona tu ndani ya gwanda naona kama nikienda kuimbisha ntaambiwa 'Haroo unareta utani na jeshi ra Porisi eeh? Haya twende kituoni ukarare sero'.

Yaani huwa najiuliza yaani sisi raia wa kawaida hatuwezi kuwamiliki na kuwagegeda hawa askari polisi au wale wanaovaa ya mabaka mabaka wa kike?
 
subiri avue gwanda.... usije lazimishwa kutii sheria bila kushurutishwa!!!
 
Hao mkuu wanataka mtu mkakamavu na lazima ugangamale kiume....kabla ya kupewa papuchi mnaaaza kwata na gwaride...mguu pande mguu sawa...nyumaaaa geuka.....hatua mbili...nne nyuma......mwendo wa kijeshi kuelekea kitandani......romance sio sehemu ya maandalizi ya game.....kati kati ya game anaweza akachomoa dushe baada ya kupokea simu kutoka kwa mkuu wa kazi....inabidi umalizie mwenyewe na nyeto.........vile vile usiwe na wivu maana makamanda watakuwa wanakusaidia sana kwenye kugegeda...............inabidi uwe na moyo wa karatasi....ni hayo tu kwa ufupi......
 
Huku mtaani kwetu kuna mjeda mmoja mzuri mzuri hivi lakini sio kiviile alihamia mwanetu mmoja maskani akaomba namba za simu kimasihara akapewa (hapo alikuwa hajui kama yule demu mjeda) siku alipokuja kujua ni soldier mchizi akadelete number

Kuja kumchunguza vizuri yule soldier watu wanajipigia aibuuuu

Kwa siku atasindikiza wageni wa kiume hata watatu halafu atafuatwa na gari

Mwana kachokaaa hana hata hamu ya kumuaproach tenaaaa
 
katongoze mjeda uishie kurushwa kichura na kupigwa mabuti...
 
Mngojee akiwa amevaa nguo za kiraia ndio umtongoza,akiwa na magwanda yake ukimtongoza tu utakuwa umemvunjia heshima kwa mujibu wa sheria za jeshi la polisi na ana uwezo wa kukuarest kama akiamua na ukashitakiwa,hivyo kuwa makini mkuu
 
Hao mkuu wanataka mtu mkakamavu na lazima ugangamale kiume....kabla ya kupewa papuchi mnaaaza kwata na gwaride...mguu pande mguu sawa...nyumaaaa geuka.....hatua mbili...nne nyuma......mwendo wa kijeshi kuelekea kitandani......romance sio sehemu ya maandalizi ya game.....kati kati ya game anaweza akachomoa dushe baada ya kupokea simu kutoka kwa mkuu wa kazi....inabidi umalizie mwenyewe na nyeto.........vile vile usiwe na wivu maana makamanda watakuwa wanakusaidia sana kwenye kugegeda...............inabidi uwe na moyo wa karatasi....ni hayo tu kwa ufupi......

Hahaaaaa mkuu umeuaaaa
 
Back
Top Bottom