mapenzi yauma.

mapenzi yauma.

bidodo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
217
Reaction score
90
Since i started long distance relationship with my best friend from ZANZ it been about a month. We used to go same highschool but then i left 2008 kuja ulaya. Kanitafuta na ikatokezea kumpenda ila mapenzi yanauma jama. Huwa namfikiria sana then nalia saana jamani mapenzi ndo hivi au mie tooo.
 
k,maybe kwa vile nipo mbali ndo maana Kaunga ndo mana yanaumiza
 
Last edited by a moderator:
love sucks.

My g.f in first year left me because of long distance relationship, so mate I have been on the same ship too.

All you have to do is well hope for the best but don't be stupid.

There is more possibility of a break up than there is of making it work.

Good luck.
 
Pole,lakini naona kama kwa vijana kama weye fani hiyo bado mda wake, chukua wahuko huko tuu mmalizane kuliko kujitia joto la roho...
 
Kumbe kipindi kile unaulizia habari za bikra ndo ulikuwa umepata?
hongera sana.....
 
Hata mimi nilikuwa natafakari kuhusu hilo kwani sio muda mrefu, ila waliachana 2008 sasa sijui wana mapenzi ya simu au vipi. Evelyn Salt huyu jamaa anatupiga kamba au fix unajua
 
Since i started long distance relationship with my best friend from ZANZ it been about a month. We used to go same highschool but then i left 2008 kuja ulaya. Kanitafuta na ikatokezea kumpenda ila mapenzi yanauma jama. Huwa namfikiria sana then nalia saana jamani mapenzi ndo hivi au mie tooo.

bidodo hii unatupa kama taarifa au? Maana kuna kupigwa kibuti na yule umpendaye au kufumaniwa, nahisi hayo yanauma zaidi kuliko hilo la kukaa mbali!!!!
 
love sucks.

My g.f in first year left me because of long distance relationship, so mate I have been on the same ship too.

All you have to do is well hope for the best but don't be stupid.

There is more possibility of a break up than there is of making it work.

Good luck.

Long distance kills, long distance frustrates.....I lost my man just because of that.....he was too passionate, lovely, caring, responsible, sweet, and so many things.....Since the time this distance came between us, it was the beginning of problems and our separation!!I hate distance, i hate distance relationship...! Let me stop before my tears come out.......
 
Since i started long distance relationship with my best friend from ZANZ it been about a month. We used to go same highschool but then i left 2008 kuja ulaya. Kanitafuta na ikatokezea kumpenda ila mapenzi yanauma jama. Huwa namfikiria sana then nalia saana jamani mapenzi ndo hivi au mie tooo.
Kujidekeza tu.
Mapenzi yakikuuma na wewe yaume.
Hivi uko ulaya pale jirani na kamba ulaya?
 
Long distance kills, long distance frustrates.....I lost my man just because of that.....he was too passionate, lovely, caring, responsible, sweet, and so many things.....Since the time this distance came between us, it was the beginning of problems and our separation!!I hate distance, i hate distance relationship...! Let me stop before my tears come out.......

R u sure its distance or u using it as a scapegoat!??
 
Since i started long distance relationship with my best friend from ZANZ it been about a month. We used to go same highschool but then i left 2008 kuja ulaya. Kanitafuta na ikatokezea kumpenda ila mapenzi yanauma jama. Huwa namfikiria sana then nalia saana jamani mapenzi ndo hivi au mie tooo.

mm nipo ulaya..............naumizwa na umbali pia nitafute
 
Back
Top Bottom