Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,852
- 172,490
Mchokozi wewe bidada!
ha ha ha itakuwa jamaa ndo alikuwa anaomba omba weee binti anaogopa kuumizwa ha ha ha hureeeeeeeeeeeeeee!!!!
Mchokozi wewe bidada!
Hauko mbali na ukweli. Watu wanaweza kuiba nguzo, lakini hawawezi kuiba shimo lake...teh..teh..teh
Long distance kills, long distance frustrates.....I lost my man just because of that.....he was too passionate, lovely, caring, responsible, sweet, and so many things.....Since the time this distance came between us, it was the beginning of problems and our separation!!I hate distance, i hate distance relationship...! Let me stop before my tears come out.......
So what?? maswali mengine sijui mnauliza mkiwa mmnapiz? sasa niisingizie ili iwejeR u sure its distance or u using it as a scapegoat!??
So what?? maswali mengine sijui mnauliza mkiwa mmnapiz? sasa niisingizie ili iweje
OK UNDENIABLE nitakutafuta kwa hamu unishauri mwenzio maaana haya mapenzi yataniathiri
Hahahaha.... Mrembo by Nature...mbona watoka povu haraka hivyo.
Most of the people claiming distance r/ship was the problem ukichunguza sana utakuta it wasn't!
Unless you mean alipoenda hamtakaa mkutane milele...:rockon:
For me it was him ambae alichoka na umbali then akaamua kuendeleza mahali hadi hapo nitakaporudi....sasa nikubali tu niendelee?