PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,520
- 3,708
Wewe possibly unaweza lakini jamaa labda hawezi kusameheWangapi wameoa wanawake walio zalishwa? Inategemea kama baba mzazi wa huyo mtoto wanachukua responsibility au laa, ila mwanaume kusamehe huyo mwanamke inawezekana vizuri tu