Mapenzi yanaumiza

Swali zuri mkuu..
 
Tulijua dini tofauti lakini tulikubaliana kuwa na ndoa ya serikali lakini mazingira ya kwao alivyoyasoma ni magumu kukubali. that's why inakuwa hivyo but we real love each other. tatzo imani
Dah hapa kweli mko katika hard time na ndipo upendo unapoonekana
hapa busara itumike tu kwakwel ili mpate baraka za wazaz wa pande mbili
pia kuna haja kwa pande mbili za wazazi kukaa na kuongea hili ...washirikishe wazee wako katika ukoo ili mpate suluhu ...sabab mwisho wa siku nyinyi mnapendana na lazima mlinde mahusiano yenu na malengo mliyojiwekea. Msitumie ubabe wala kuwakosea wazee jaribun tu kuwaeleza ukweli ila muhim pande mbili nikimanisha wazee lazima waongee waafikiane
 
Ndoa ya serikali alafu watoto watasali wapi au serikalini?
 
Nimependa sentensi yako ya mwisho goldie ...""ipo siku atamkumbuka""
ila nmeshangaa mwanamke ana msimamo mkal namna hio wa dini
 
Ujumbe ulio katika huu uzi ni mzito sana, na ni mambo ambayo yapo. Pongezi sana kwa mtoa mada kwa kutoa mada hii muhimu sana kwenye maisha yetu. atakaedharau na adharau. Yatakapomkuta ndo atajifunza. Nliwahi kufanya makosa kama haya mara kadhaa hapo awali, ila nashkuru nlijielewa na kubadilika before it was too late
 
Hakupendi huyo, angekupenda asingekupa mashart ya kufuata dini yake. Naamini angesema anafuata dini yako. Kuwa makini.
 
Huu uzi umenisuta sana

Kuna binti nmemfanyia kitu kibaya ngoja nimpigie simu tu nimuombe msamaha
Mkuu nashukuru kama uzi huu umeleta ama unatarajia kuleta changes kwako
jambo la muhim sana utakalofanya hilo..!! Unafkiri laana hua zinakujaje mkuu. Ikiwezekana ukutane nae mkuu usipige simu tu
 
Thanks mkuu.
 
Hakuna ndoa hapo.
Wote mna misimamo na dini zenu,mtakuja kutiana mimba na muwape shida watoto zenu kisa dini zenu.Mambo ambayo sitak yaje kutokea ni ku date na mtu wa dini tofaut nami,mwisho wake mtakuja kuzalisha janga hadi mkapagawa.
Same religion is much better na huenda mkaingia kwenye ndoa na maisha yakaenda.
Angalizo:Hata wa dini yako km huna future nae kaa nae mbali maana pia waweza washa moto usizimika hata kwa magari ya WASHAWASHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…