Mapenzi yanauma jamani

Ni udhaifu mkubwa sana mwanaume kuteswa na kulia kisa mapenzi.

Nyie watu mpo very weak emotionally. Inakuwaje mnapenda penda mpaka mnaumizwa na kulia lia? Mbona mimi sipo hivyo wakuu?
mkuu ukisema hivyo ujue moyo wako hujakutana na mtu unayempenda bali umemtamani tu.
asikudanganye mtu et unaweza kujizuia ukampenda kidogo,kwanza moyo haupangiwi labda utakuw unapunguza zile tabia kama kupiga piga simu,sms za kila mara,mazoea ya kila muda,ila moyo umeshapenda.

ila mwanaume kufikia hatua ya kulia mbele ya demu aisee hii level unakuwa umelogwa (unalia kabsa unatoa na kwikwi
)
 
Hii picha Ina maana gani
Hiyo ndio Pandora box
Ni Moja kati ya ngano za wagiriki wa kale wakielezea jinsi Dunia ilikua sehemu nzuri ya kuishi na hakukuwa na mabaya watu waliishii Kama paradiso Sasa huyo Mwanaume mtunzaji wa Hilo sanduku akanogewa na penzi na kumpa zawadi mwanamke mmoja mrembo apate kutunza Hilo box masharti yake ilikua marufuku kufungua ila kutokana na ukaidi wa mwanamke na Ile roho ya ufukunyuku akalifingua Kwa Siri kumbe ndani zilifungiwa roho za uovu
Ndio hapo sasa Hao wakulungwa wanatoka na kuiletea Dunia balaa!

Hii Hadith inafanana na ya
Adamu & Eve pale Eden eve kula tunda alilokataziwa kimasikhara kimasikhara!
 
Duh hata kama ni kupenda ila sio kuwa weak kiasi hicho asee. Mtu akizingua apite zake alolo aseee muda wa kuliliana mimi sinaga.
 
Endelea kulia....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…