Mapenzi yanauma jamani

Pole sana dada yangu...life is not fair at all...yani unampenda mtu halafu what u get in return ni maumivu....
Wewe sio wakwanza kupitia hayo dada yangu...jikaze, jiweke busy naumove on na maisha yako.
Tena shukuru Mungu hujamzalia coz nahisi ungechanganykiwa maisha.
Wala usione ni kitu cha ajabu sana..ni kawaida kabisa katika mahusiano ya sasahivi.
Mungu akutie Moyo..
 
Hizi hasira mmh!!! Lkn makosa ni yenu wenyewe hakuna mtu wa kulaumiwa hapa jilaumuni wenyewe for wrong choices.
Umeamua kuachana na mfumo wa maisha uliopangwa na Mungu ukaamua kufata mfumo na muundo ulioandaliwa na kubuniwa na wanadamu hayo ndio madhara yake. Kila siku kulaum na kutamani kutoa masomo kama lecturer wa udom.

Hata hao ambao hawajalizwa leo au kesho watalia tu so long umedeviate from God's principles of life.
 
Kwa miaka 5 bila mtoto? Hamkupanga kuoana. Hujachelewa. Tupo wengi
 
Utalinganishaje mwanaume na mma yako? Labda sijakuelewa.
 
Pole sana inabidi ukubali kuwa umeachwa na umeumia sana kwa jinsi ulivyompenda then jipe muda wa kwako atakuja.
 
Inawezekana Ulikua Mzigo kwake kwa miaka mitano
Kama kawaida ya Jususii alisubiria muda muafaka akajitoa kifungonii..
Pole Dada..
 
Sio kila uhusiano lazma uwe ndoa, kwa jazba ulioonyesha hapa yaonekana una gubu sana na hujui ku appreciate kwa kila unchofanyiwa thus y umekula ki raba! Pole sana VZ
 
Pole sana bibie, ila hakuna kitokeacho bila sababu kuna kitu utakuwa umemfanyia akaona hamuwezi kuendana. So bora kila mtu atafute watakayewezana japo nahisi atakuwa hajakuambia tatizo nini.

Kuna wanaume wengine huwa hatupendi kukomandiwa,kuendeshwa hata kupayukiwa na wenza wetu yawezekana ukawa na moja kati ya hayo.
jibu hilo juu jiulizeee
 
Ninajua aina ya maumivu inayopitia maana nilishawahi kukutana na Kisanga cha aina hiyo indirectly. Binafsi nilihama kabisa na kuepuka vitu ambavyo vilikuwa vinanipa kumbukumbu Zake. Nikawa mtu wa kanisani zaidi. nilipoona kumuepuka imeshindikana kupunguza maumivu nilihama nchini kwa muda. Hii ilifanya kazi kwani ni mwaka tu nikamsahau kimoja. So na wewe anza kufuta namba yake, futa meseji zote za kila aina mlizotumiana, vunja picha zake, nguo zake Choma moto, epuka kukutana au kuongea na watu watakaokukumbusha habari zake, ma mwisho kabisa kuwa busy na mambo ya kanisa au msikitini. kumbuka kumsahau mtu ni process hivyo kidogo kidogo itazoea.
 
du, pole sana vaileth. miaka 5 yote hajakuzalisha mtoto? wewe ndio basi tena...sikio la kufa.
 
Shooga usilie tena piga moyo konde sema bas alafu jiongezee machoz ulio lia ayata enda bure all the best
 

Safi sana.
 
Mkuu nisamehe kwa kutokukupa 'support'.
Tukubali kuwajibika kwa makosa yetu wenyewe wakati mwingine.
Kama hujaoa/olewa,naamini ukisalitiwa na mpenzio mnaegegedana bas huna haki ya kulaumu yeyote zaidi yako ulojitoa bila ndoa mkuu.
Ni matokea ya maamuzi yetu.
Labda kama ulikua kwenye ndoa mkuu,hapo una haki ya kulaumu.
 
Aisee pole sana ila wanawake mnaingia mkenge sana kwa sababu siku hizi mnajifanya wajuaji sana. Enzi zile mlipokuwa mnatusikiliza kaka zenu haya mambo hayakuwa yanatokea kwa sababu tulikuwa tuna uwezo wa kuwalinda na makanjanja. Ila siku hizi utasikia, "mtu mzima nina uhuru wa kufanya maamuzi yangu binafsi". Mtaendelea kumegwa sana na kuachwa kwa akili hizi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…