Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

Yaan nimeachwa kwenye mataa mapenzi yanauma jamani yaani nimekaa na huyu mwanaume kwa miaka mitano nimekataa wanaume kibao ambao alikua wanani-approach wakiwa na nia njema nahisi nimechanganyikiwa sielewi wapi pakuanzia.

Nimelia hadi sauti imekauka i regret the day i said yes to him. Wanaume shikamooni sikuwai kudhani kuwa alikua na mahusiano nje, kha nimepata life time lesson wanawake wa humu muwe macho hapa nawaza ningekua nimemzalia daaah ningekua na hali gani nahisi ningechizi.

Hebu wanajammii nishaurini ntamsahauje huyu maana naona kama siwez siku ya nne leo am not myself. Yaan kadiriki kumpa simu mwanamke wake mpya waniambie kuhusu uhusiano wao mapenzi yauma jamani najiuliza nina tatizo gani jaman jaman nitamsahauje huyu.........
R.I.P peace biiiiiiiiiiiiiiiiiiiitch, ivi ni kwa nini nyie mkiumizwa ndo mnapenda kujikuta mnaumia sana, hivi mnadhani mnapotuumiza sisi tuna mioyo ya chuma isiyoumia au? what goes up must come come down, malipo ni hapa hapa nyie wanawake mnaboa sana, mkiona kijana flani ana pesa mnatuacha na dharau kibao, shukuru hata huyo bro hajaacha dharau na maneno ya shombo tena shukuru hajakuachina na ngoma, mna roho mbaya sana nyinyi.
by the way naju kuna wanawake wana nia njema sana na wana huruma sana hawa huwa hawapati na madhara yoyote na Mungu huwa anawalinda daima ila nyie wanafiki ndo mhuwa mnaliwa tena mnaliwa pabaya mno na roho yako haitakua na amani ata ufanyeje shenz
 
Mnashauriana mambo ya kijinga.unywe mkojo kama si kujitafutia magonjwa?
we vipi si bora tena unakunywa mkojo wako jiulize vipi wale wananaume wanaolamba uke na vinyewe vya wake/michepuko zao? tumia akili boss na bado wanadunda mtaani
 
Nitafute haraka,lakini kuwa makini sana kuhusu mapenzi hapa mjini wengi ni walaghai,pole njoo nikupe tiba na hakika utapona
 
Mahusiano miaka 5 umeng'ang'ana tu, kakufuja wee kaopoa kipya pole sana.

Ntaendelea kuwa single hadi siku ntakayopanda madhabahuni, nikishuka ndo ntaanza kusema taken, huwa mnajipotezea bahati bila sababu za msingi.
kwa hiyo angelita unataka uniambie huto.*mbwi kabisa?
 
Nitafute haraka,lakini kuwa makini sana kuhusu mapenzi hapa mjini wengi ni walaghai,pole njoo nikupe tiba na hakika utapona
mkuuu we hufurahi kusikika mijanamke kama hii nayo inaumia? wanaume tunateseka sana jaman khaa, acha lipotelee mbali huko
 
Mahusiano miaka 5 umeng'ang'ana tu, kakufuja wee kaopoa kipya pole sana.

Ntaendelea kuwa single hadi siku ntakayopanda madhabahuni, nikishuka ndo ntaanza kusema taken, huwa mnajipotezea bahati bila sababu za msingi.
kwenda kule mnafiki tuu we sema uko single na unapigwa mipini kama kawaida lakin pia humtegemei mtu kuwa mumeo nimekusoma vizuri tuu, wanawake bwana
 
Ndomana nimekwambia umekurupuka na stress zako huko na kudandia gari bila kujua muelekeo wake.

Kwa kukusaidia sijasema niko single, "sitaacha kusema niko single hadi pale nitakapopanda madhabahuni"(sijasema niko single) ungeisoma kwa makini bila wenge usingeharisha kwa comment zako za kiduwanzi.
 
ndo untukane sasa?
 
we vipi si bora tena unakunywa mkojo wako jiulize vipi wale wananaume wanaolamba uke na vinyewe vya wake/michepuko zao? tumia akili boss na bado wanadunda mtaani
Haya kunywa mkojo Lita 3 upone matatizo yako.
 
Wanawake sikilizeni.
Nna mdogo wangu ana mke na watoto 2 ndani ya ndoa ana miaka km 9 hivi huyu mdogo wangu huwa anasafiri sana.
kuna siku mke kapiga simu ya mumewe akapokea mwanamke wakaanza kuulizana we nani?!mwisho huyu mchepuko akaanza kumtukana mke kwamba huyu mwanaume hana mke hivyo awaache wale raha za dunia na kumtukana sana huku akimwambia huyu hana mke!ikabidi me shemeji aniite nikamkuta amevimba kwa kilio alivyonieleza ikabidi me nipige simu akapokea tena mchepuko nikamwambia huyo ni mume wa mtu na isitoshe katoka mbali na mumewe basi mchepuko ukaanza kunipa ubuyu wote kwamba jamaa alisema alikuwa na demu tu alizaa nae ila hakuwa na mke na alimuacha sababu ananuka na ana kitu kubwa!ilibidi nitoke na simu nje nikamuomba anipe dogo niongee nae dogo akakataa!daahhh ilikuwa kazi ilibidi nilale pale nilihisi huyu shemeji angejiua.dogo amerudi akampandishia mke kwamba usinifate fate.yaani ni long stori
 
Pole sana vaileth!! njoo PM Nikushauri namna ya kusahau watu kama hao. Kiukweli nawapenda sana nyie wanawake sipendi nione mnateseka maana nikiona unanyanyaswa roho inauma sana.
 
Yaan nimeachwa kwenye mataa mapenzi yanauma jamani yaani nimekaa na huyu mwanaume kwa miaka mitano nimekataa wanaume kibao ambao alikua wanani-approach wakiwa na nia njema nahisi nimechanganyikiwa sielewi wapi pakuanzia.

Nimelia hadi sauti imekauka i regret the day i said yes to him. Wanaume shikamooni sikuwai kudhani kuwa alikua na mahusiano nje, kha nimepata life time lesson wanawake wa humu muwe macho hapa nawaza ningekua nimemzalia daaah ningekua na hali gani nahisi ningechizi.

Hebu wanajammii nishaurini ntamsahauje huyu maana naona kama siwez siku ya nne leo am not myself. Yaan kadiriki kumpa simu mwanamke wake mpya waniambie kuhusu uhusiano wao mapenzi yauma jamani najiuliza nina tatizo gani jaman jaman nitamsahauje huyu.........
Mshukuru Mungu kama uko salama kiafya , kwa msaada zaidi mwachie Mungu wako atakuonesha zuri zaidi alilokuandalia.
Huwezi kupaka rangi mpya juu ya rangi ya zamani, namanisha..zawadi na ahueni ya moyo aliyokuandalia Mungu wako isingeweza kutimia ungali kwenye hali unayoilalamikia sasa hivi..believe him..
 
hii kali nimeipend, mkuu naomba hii nije niandikie kitabu tugawane pesa za marejesho

Wanawake sikilizeni.
Nna mdogo wangu ana mke na watoto 2 ndani ya ndoa ana miaka km 9 hivi huyu mdogo wangu huwa anasafiri sana.
kuna siku mke kapiga simu ya mumewe akapokea mwanamke wakaanza kuulizana we nani?!mwisho huyu mchepuko akaanza kumtukana mke kwamba huyu mwanaume hana mke hivyo awaache wale raha za dunia na kumtukana sana huku akimwambia huyu hana mke!ikabidi me shemeji aniite nikamkuta amevimba kwa kilio alivyonieleza ikabidi me nipige simu akapokea tena mchepuko nikamwambia huyo ni mume wa mtu na isitoshe katoka mbali na mumewe basi mchepuko ukaanza kunipa ubuyu wote kwamba jamaa alisema alikuwa na demu tu alizaa nae ila hakuwa na mke na alimuacha sababu ananuka na ana kitu kubwa!ilibidi nitoke na simu nje nikamuomba anipe dogo niongee nae dogo akakataa!daahhh ilikuwa kazi ilibidi nilale pale nilihisi huyu shemeji angejiua.dogo amerudi akampandishia mke kwamba usinifate fate.yaani ni long stori
 
Pole dada vaileth zainab wanaume hatuko hivyo kuna kitu utakua umemuuzi! Jikeep busy utamusahau tu, miaka mitano mbna kidogo sana mi nikajua mumezaliwa wote mkakua wote, fikiria kipindi hujamfahamu kwani uliishije.
Ulianza hovyo ukarudi kwenye mstari halafu ukaharibu zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom