Mapenzi yanauma jamani

Nenda insta kwa usipojipanga utakuta watu wanakunywa kojo na kunuia kusahau afu wanaleta ushuhuda wamesahau, sijui ya kwel yale. Jaribu afu ulete mrejesho. N.b pole sana.
Mnashauriana mambo ya kijinga.unywe mkojo kama si kujitafutia magonjwa?
 
Been able to let it go does not mean you are weak but you are strong enough to let it go,kabla yake ulikuwa unaishi tena labda vizuri zaidi kuliko kipindi uko nae na baada yake lazima maisha yaendelee,watu wanafiwa na wazazi wao wanasahau sembuse mpenzi tu?jaribu kukumbuka yale mabaya aliyokutendea wakati mpo kwenye mahusiano yenu,then time will heal the pain,muache aende
 
Daaaa i seee hali ngumu love iso tyte
 
Pole sana dada, jipe moyo mkuu utapata mwingine, ningekuwa bado cjaoa ningejitolea kuwa na wew!
 
Mahusiano miaka 5 umeng'ang'ana tu, kakufuja wee kaopoa kipya pole sana.

Ntaendelea kuwa single hadi siku ntakayopanda madhabahuni, nikishuka ndo ntaanza kusema taken, huwa mnajipotezea bahati bila sababu za msingi.
 
Kwa hiyo kama ndani ya miaka 2 hajatangaza ndoa hanipendi huyo?
 
Usipotoa papuch unanuniwa mwisho unaachwa na wanaume wote wako hivyo
 

Pole sana dada ila nenda duka la dawa ukanunue dawa inaitwa "FORGIVE&FORGET MEN" Hii itakusaidia
 
mna ruhusiwa kuoa wake wangapi ndugu? maana huyo alekuacha ni nyumba ndogo, we huoni dhambi kumdanganya mumeo
 
Waswahili wanasena mwanaume si baba ako.

Pole sana, maskini kakupotezea muda kweli. Una umri gani sasa maana ukichelewa kuzaa tena ni majanga.
maskini eeh, sasa nishajua kwa sababu mnawekeza kwenye pesa. ningelikua na hasira na nyie ningewanyoosha sana, ila kwa vile nimepewa moyo mwema wenye huruma acha nivungu, niko tayari kutoa somo la kwa nin wanawake wanapenda pesa zaid ya chochote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…