muafrika08
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 255
- 104
Narudia tena hujawahi kupenda na Elewa tunatofautianawapi mm naona ni kauli za kujifariji tu unaweza ukapenda na usitoe chozi ukaugulia moyoni
Narudia tena hujawahi kupenda na Elewa tunatofautianawapi mm naona ni kauli za kujifariji tu unaweza ukapenda na usitoe chozi ukaugulia moyoni
MavochaaaaaaUkweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende
Na kwanini asilie sababu ya mwanamke? KhaaaaUPUMBAVU HUO NILIDHANI UMEIBIWA HELA UNALIA KWASABABU YA MWANAMKE BOYA SANA WEWE JAMAA
ni ukosefu wa akili mwanaume ukalia kisa mwanamke hata kwao watamuona bwegeNa kwanini asilie sababu ya mwanamke? Khaaaa
Hata mm zaman nilikuwa nasema hvyo hvyo ila kuna wazee walionya sna na wakaniambia hakuna mjanja kwenye mapenz ila ss hv nimethibitsha na ww endelea kubeza tu watu walio athilika katk mapenz ila kama mwanaume ulie timia bac ipo cku yatakukutani ukosefu wa akili mwanaume ukalia kisa mwanamke hata kwao watamuona bwege
Cjasibitisha ila now nakatiwa cm na kuwekwa black listduh! washammegea.,
Nikweli me nipo dah! Kwa hyo wanaume wa dar ndo tunaongoza kwa kutendwa?Wewe ni jinsia gani??? Kama ni me bila chenga utakuwa ni mwanaume wa Dar!
Ukweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende
kwahiyo sasa umeamuaje?Cjasibitisha ila now nakatiwa cm na kuwekwa black list
Mkuu kwa nn umenichekaNimecheka badala ya kukuonea huruma.
Mkuu sio rahis hvyoSi uachane nayo? Kwani mmefungwa nira nayo?
Unaliaje wakat siku hizi unakamata yeyoteUkweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende