Sawa ni mwanamke mzuri, ila akikuchoka akakutema hakuna kitu cha maana zaidi ya kutafuta pengine penye marisho bora tofauti na hapo utaishia kuumia tu, nikupe siri tu, mwanamke anapenda sana kubabaikiwa so utakuacha umfate fate weee, badilikeni ohoo!hujawahi kua na mwanamke mzuri wewe mtoa mada........
Raha jipe mwenyewe.Lazima tugutuke na kuacha kulialia bila hata mpango. Leo unalia na kesho unalia haaaah!
we ni mkali kweli kweli,yaani umependa vyote Mada yake na yeye mwenyewe mtoa mada.heshima kwako.Baada ya kusoma mada yako, moyo wangu umelia "paa!" ndo nshakupenda hapo!
Aya niambie nakupataje?
kweli kabisa.Mapenz yanatesa sana hasa unapompenda mtu asiekupenda