"Mapenzi yanasumbua wajinga"

"Mapenzi yanasumbua wajinga"

me n mgen humu ama kwa kwel umesema ukwel hilo nalo neno.
 
Sio kila unayempenda unataka kumuoa. wengine unawapenda kwa ajili ya michepuko tuuuuu.
 
Kama Mimi kuna mdada nampenda sana lakini baada ya kunipiga kibuti nimejipa moyo ntapata mwingine tu sina haja ya kuumia coz yeye yuko happy kwanin Mimi Ndo niumie
 
Hilo ndo la maana.mtu anapokuacha inamaanisha hakupendi tena..bora kuukubali ukweli na kusonga mbele.
 
Sio kila unayempenda unataka kumuoa. wengine unawapenda kwa ajili ya michepuko tuuuuu.

Kwa maana hiyo huhitaji kuumia kwa sababu kila mtu anakufaa kwa mchepuko.
 
Back
Top Bottom