Kashindi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 349
- 250
Wanajamvi habari zenu!
Natumaini hamjambo naombeni kuchangia mawazo yangu na nyie.
"Hakuna haja ya kuhangaika kuanzisha uhusiano na mtu ambaye unajiaminisha kuwa unampenda lakini ukiangalia kwa undani ni kama unajidanganya.
Unamtaka mtu kwa udi na uvumba, huli, hulali mambo yako yamesimama kisa eti unampenda na Yeye anakuzungusha. Swali la muhimu kujiuliza ni "Je ninampenda?" Automatically jibu litakuwa ndiyo.
Je nitamuoa au kuolewa naye?" Kama Jibu ni hapana! So what and why uteseke? Nini hatma (destination) ya uhusiano unaotaka kuuanzisha?
Unampenda mtu lakini unagundua hakupendi kwanini ung'ang'anize?
Mpenzi wako kakusaliti unalia sana unamsamehe lakini kesho anarudia. hapo unataka nini tena?
Siku zote tafuta ukweli ili uishi huru.
Unagundua mdada au mkaka unayemtaka ana mtu mwingine eti unaanza "ooh naomba niwe spear tyre" oooh muache Huyo mi ndo nakupenda sana" kesho akija mwingine akamwambia kama wewe ulivyofanya?
"Your life can be happy if you want to make it happy and not otherwise"