mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Kwa maelezo yk kama ni kweli na ushauri uliopewa ukiendelea nae utakuwa na roho ngumu wote tupaa kule mwee kama karoho kanapenda basi tena
samahani kidogo wewe ni 'me' au 'ke'
Weka picha yake tumuone
What does it take to put your foot down and say I refuse this kind of treatment???
SMDH!!!
Majibu unayo sasa unauliza nn. Jinga ww
At what point does one say am fed up. My mama did not give me life just for me to live it this way.from this man and take a little break.
Mpaka lini?
Kutokana na uandishi atakuwa ke, kama ni me kitu nisichodhani kulikangana na ulalamishi atakuwa me suruali mkuu.
Bora kama ni wachumba kidogooo inaleta matumaini usije kuta ni wapenzi tu hata wazazi wake hawajui kama kuna mtu anamuumiza mwanao hata kumrushia vocha ya 500 anashindwa
Kijana wakati ndio sasa , vunja huo uhusiano kungali mapema wala usifikirie kuingia na huyo dada kwenye ndoa, ipo siku tutakukuta juu ya paa unaota jua huku umejifunika blanketi..........kama hayo unayosema ni kweli, jikaze kisabuni muachane, utampata mwingine mutakayeendana na kukuheshimu.......kwanza pole sana.