Mapenzi yananiumiza naombeni uzoefu wenu tafadhali

hapo kinachokuvutia ni hicho kipato cha milioni 9 kwa mwezi , hamna kingine.
 
Salamu kwa wote,

Mi ni yuleyule mpenzi wangu hataki tukacheki afya,

Jamani mapenzi yananiumiza sina raha ndugu zangu, nampenda sana huyu mpenzi wangu lakini yeye simuelewi.

Nina miaka 27, nina kazi ya kudumu, tumekuwa tukigombana mara kwa mara nakuwa mdogo mambo yanaisha maisha yanaendelea.

Mara nyingi ananikwaza nikimuuliza ananitumia meseji za matusi, nikishauri kitu ansema hataki kushauriwa, tunaishi mkoa mmoja lakini hana time na mimi kabsa, cha ajabu mesg za kusema ananipenda hazikawii.

Napata wakati mgumu sana, hajawahi kuninunulia hata kazawadi ka shilling 500!hana muda wa kuspendi na mimi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu na kila tukitofautiana iwe ni yeye chanzo au ni mimi ananitumia meseji za matusi, ninapohisi nimekosea namwomba msamaha but naambulia matusi, akinikosa yeye anarudisha kosa upande wangu na msg za matusi.

Anajifanya ni mbabe, na kama katili flani, ubahili ndo usiseme. Kanambia tuanze process za ndoa ila naogopa maana nawaza hivi tukioana atakuwa anatunza familia? maana anaoekana sio mtoaji hata kidogo japo anapata almost laki 3 kwa siku.

Pia atakuja kuacha matusi au atanitukana mbele za watu au watoto?

Naombeni ushauri wenu kichwa kinaniuma hapa nilipo nikifikiria na umri ndou unaenda

Achana nae huyo, Utakuja kufa na mistress bure, Shukuru Mungu umemjua tabia zake mapema, Hajiheshimu huyo.

A
 
Nafikiri ni hoja nzito za Bunge la katiba zinamfanya atumie akili sana kiasi kwamba anachoka. Halafu si umesikia hiyo laki 3 wanayopewa wamedai hazitoshi, basi huenda hasira anazihamishia kwako.
 
Marriage is a Life time commitment,

kwenye uchumba mapenzi yanakuumiza hivo huna raha

huko kwenye ndoa ndio raha utaisikia...,huu ndio mda wa wewe ku choose wisely
Bora kama ni wachumba kidogooo inaleta matumaini usije kuta ni wapenzi tu hata wazazi wake hawajui kama kuna mtu anamuumiza mwanao hata kumrushia vocha ya 500 anashindwa
 
Achana nae. .sio wako. .msumbue Mungu akupe wako
 
What does it take to put your foot down and say I refuse this kind of treatment???

SMDH!!!
 
Salamu kwa wote,

Mi ni yuleyule mpenzi wangu hataki tukacheki afya,

Jamani mapenzi yananiumiza sina raha ndugu zangu, nampenda sana huyu mpenzi wangu lakini yeye simuelewi.

Nina miaka 27, nina kazi ya kudumu, tumekuwa tukigombana mara kwa mara nakuwa mdogo mambo yanaisha maisha yanaendelea.

Mara nyingi ananikwaza nikimuuliza ananitumia meseji za matusi, nikishauri kitu ansema hataki kushauriwa, tunaishi mkoa mmoja lakini hana time na mimi kabsa, cha ajabu mesg za kusema ananipenda hazikawii.

Napata wakati mgumu sana, hajawahi kuninunulia hata kazawadi ka shilling 500!hana muda wa kuspendi na mimi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu na kila tukitofautiana iwe ni yeye chanzo au ni mimi ananitumia meseji za matusi, ninapohisi nimekosea namwomba msamaha but naambulia matusi, akinikosa yeye anarudisha kosa upande wangu na msg za matusi.

Anajifanya ni mbabe, na kama katili flani, ubahili ndo usiseme. Kanambia tuanze process za ndoa ila naogopa maana nawaza hivi tukioana atakuwa anatunza familia? maana anaoekana sio mtoaji hata kidogo japo anapata almost laki 3 kwa siku.

Pia atakuja kuacha matusi au atanitukana mbele za watu au watoto?

Naombeni ushauri wenu kichwa kinaniuma hapa nilipo nikifikiria na umri ndou unaenda.

asanteni.

Kaa chini naye, muongee kwa kina na umwambie kero zako zote, atakuelewa tu..
 
What does it take to put your foot down and say I refuse this kind of treatment???

SMDH!!!

bado hajatambua kama anaumia, hatakama amegundua, si unajua kunamaumivu mengine yanaladha flani ya utamu
 
Unasubiri nini? Unataka Mungu akupe nini zaidi ya hayo aliyokufunulia juu ya huyo mtu? TAFAKARI CHUKUA HATUA.!!
 
Back
Top Bottom