Mapenzi yananitesa sana

Maho gel

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
308
Reaction score
99
Hi guyz habari zenu jamani.

Mwenzenu kuna mwanaum nishawahi kuwa nae kimahusiano kutokana na tabia za uhuni nliamua kumuacha kwa sasa miaka miwili,tatizo ni kwamba nimejaribu kumsahau lakini nafsi yangu inakiri kumuhitaji.

Najaribu kumsahau lakini nafsi yangu inadai yule ndo ninaempenda nashindwa kuyafurahia mapenzi kutokana na yeye.
Nashindwa kuwapenda wanaume wengine because of him.

Please jamani nisaidieni i need to enjoy love like others nakuwa kama mfungwa vile inaumiza sana jamani napenda kumsahau kabisa kwani niliomba nafsi ikiri kumsahau lakini bado inashindwa.

Msaada wenu wa kimawazo.
 
Sometimes wewe unaweza kuwa ni tatizo ila ijijui,Kaa nae ongea naemkubaliane muyamalize. Hata yeye huenda mpaka leo bado anakupenda. Acha kuigiza uzungu, hapa Africa.

Kwa kawaida wanaume wote wa Africa ni kama King Mswati. Ila Limbwata unalo wewe mwenyewe.

So komaa
 
Fungua moyo wako umwachie aende.Ukute yeye keshakusahau.

By the way mwamuzi ni wewe mwenyewe.Unaweza ukajikuta unamuwazia all ur life.
 
Pole hii inatokea kwa pande zote mbili. Ukipenda kwa mara ya kwanza na ukakuta unapendwa siku mkiachana nilazima mkumbukane iwe kwa wema au ubaya.

Chakufanya kama unamawasiliano naye nayuko tayari mrudiane fanya hivyo angalizo je yeye anakuhitaji isijekuwa yeye hana wazo na wewe mkirudiana utaingia kwenye JELA ya mapenzi ambayo nimbaya kuliko kitu chochote Duniani
 
Kwa kuwa ni kipindi cha kwaresma, na yesu aliteswa kwa ajili ya dhambi zetu.
Basi na wewe wacha uteseke kwa mapenzi yetu. ala imekwisha sasa ni usiku.
 
Because it was a first real love itakuchukua muda kuweza kumtoa kabisa rohoni na kwenye hisia zako

Only time can heal broken hearts! Full stop hakuna kingine

Nakuachia dedication ya wimbo wa Mwasiti SEREBUKA waweza penda tena!!!!
 
Hilo ni tatzo la kisaikolojia! Wana saikolojia wanalihusisha na uwezo wa mwanadamu kukumbuka na kusahau vitu yaani "memory"
Kuna kitu kina itwa "proactive interference" hii ni ile,hali ya mtu kushindwa kukumbuka mambo aliyonayo at present time kutokana na kukumbuka tukio/matukio yalio pita.

Kwako wewe pia unashindwa kumsahau ulie kuwa nae miaka miwili iliyopita ivyo inakusababishia kutokua maybe makini au kumpenda ulie nae
Kwa lugha rahisi ni kwamba unashindwa kupenda tena/au kumpenda ulie nae kwa sababu kumbukumbu za kumpenda wa nyuma hazjafutika!! Hivyo inakuwiaa vigumu saana.

Hapa unachotakiwa kufanya ni kujilazimisha kumsahau, kulazimisha kuondoa mental picture ambayo inasababisha wewe kumkumbuka!!
Ili uweze kumsahau lazima ujaribu kusahau kila kitu kuhusu yeye, kama kuna kitu ambacho alikufanyia, alikupa mfano nguo, pete, n.k hiv hurudisha kumbukumbu juu yake so kumsahau inakuwa vgumu!

So ili umsahau lazima usiwe navyo hivyo vituPia unatakiwa ujijengee imani ya kwamba unaeza pata mchumba au boyfriend ambae anaweza kuwa kama yeye au hata zaidi..so hii pia itakusaidia.

Naamini umenielewa.
 
Reactions: naa
Pole sana.

As a senior sex & relationship consultant nipm niweze kukupa a professional advice.
 
Jibu hapo ni rahisi...hujapata aliyemzidi, i tell you ukimpata tu,and ofcoz utampata...mwenyewe utajishangaa!!!

Lakin kabla hajafika huko, jiulize nn chanzo cha nyie kuachana?? Na ni kwa mda gan??? Maana unaeza ukarudisha majeshi ikala kwako...
 
Pole mkuu hiyo inaitwa kifungo cha nafsi muombe Mungu akufungue hasa kwa kujikita kwenye ibada na kuomba msaada wa wengine wa maombi. Itachukua muda lkn utaweza na utasahau simaanishi utasahau yaliyokutendea hapana bali utajikuta huna tena hisia juu yake. Umeshajua hakua mwaminifu sasa hiki kinachokusumbua kinataka kukurudisha kwenye jela.
 
innocentmollel

Miaka miwilii you cant be serious!For 2 years mengi yashatokea Nini unakikumbuka kwa huyo mkaka
Ni bora vile vitu unakumbuka kwakwe, lets say kama jinsi alivyokuwa anakugegeda ,na mambo kama hayo umwambie aliyepo sa hii awe anakufanyia ,ila kumuwaza mtu uliyemwagikana nae 2years ni hatari kwa afya yako anaeza kukugonga bila mapenzi akakuumiza zaidi

Jifunze kumpenda wa sasa mfundishe unachopenda kama ni kuzamia chumvini mwambie taratiibu, bwana mi bila mtu kuzama chumvini sijiskiii, hahahaha utajakufa kwa kihoro buree kumbe mambo yanawezekana tena ukapata raha zaid na kumsahau huyo zilipendwa.
 
Last edited by a moderator:
chipukiz

Tatizo in kwamba hajawahi kujishughulisha kunitafuta tangu nimeachana nae nashindwa coz nahisi namforc
 
Last edited by a moderator:
Innocentmolle

Unampendaje MTU ambae unahisi hana kabixa plan na wew it pain sana mpendwa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…