Mapenzi yananitesa sana USHAURI

Mapenzi yananitesa sana USHAURI

Thats right brother. Atakuja mwenyewe tena kwa magoti. Nawafaham hawa viumbe meku. Apambane.. namuhakikishia huyo malaya atarud tu
Ni kweli mkuu. Kampata mwenye umbo kubwa mfukoni.

Ni ngumu sana mwanaume asiye na shughuli ya kumwingizia kipato kuwa na serious and long lasting relationship na mwanamke.
 
Au pengine na waza anataka anione niko intereste sana kwake yani amejua nampenda sana pengine? Lakini nashukuru pia kwa ushauri naweza pakuanzia mkuu
Ukilazimisha mapenzi utapata tabu sana. Mwondoe moyoni and move on.
Kama ulitaka aje kuwa mkeo umeshamsoma rangi yake halisi.

Ni wanawake wachache sana wasio na pesa huweza kuwa na mwanaume wa type yako. Shida ni mfuko mtupu wala sio umbo.

Sura inavumiliwa mkuu kama una mkwanja.

Hapo akikutania tu "baby nikwambie kitu?" Roho inakuruka maana unajua akikuomba hela ya saloon huna. Wakati huo huo kuna mtu anampa hela bila kuomba.

Mkuu pambana na hali yako kiuchumi. Hawa watu watakugombania sana tu.
 
sawa mkuu nimekuelewa.....
YUNI** popote alipo mimi namwambia naendelea na maisha yangu kama kawaida
 
Weka effort kwenye kutafuta kazii na hela uwe busy utamsahau
Kwa msg uliyoambiwa we songa mbele tu atakutafuta mwenyew huko mbelen wkt huo ushampata mwingine
 
Weka effort kwenye kutafuta kazii na hela uwe busy utamsahau
Kwa msg uliyoambiwa we songa mbele tu atakutafuta mwenyew huko mbwlen wkt huo ushampata mwingine

Asante mkuu mimi Emmanuel nasonga mbele
 
Mwambie na yeye pia sio type yako!
Dogo kwan ujiamin??
Mpe kubwa za uso
 
Mkuu pole sana ukiachwa achika mwache aende tu utakuja msahau Mungu kaumba kusahau kuwa busy tu na mambo yako
 
Kuna uzi wenu umeekwa huku wadada wenye sura nzito...

Mwanamke mzuri hapendi bana
 
Mkuu pole sana ukiachwa achika mwache aende tu utakuja msahau Mungu kaumba kusahau kuwa busy tu na mambo yako
Nasema tena Mimi Emmanuel nimekubali kuachika, kwa msaada wenu wa mawazo mimi sio wakwanza wala sitokua wa mwisho Mungu anisaidie kwenye mambo yangu nitakayokuwa nayo busy
 
Nasema tena Mimi Emmanuel nimekubali kuachika, kwa msaada wenu wa mawazo mimi sio wakwanza wala sitokua wa mwisho Mungu anisaidie kwenye mambo yangu nitakayokuwa nayo busy
Asante mkuu na Mungu atakusaidia futa kila kitu chake huwezi jua Mungu anakuepusha na nini kwa huyo mwanamke
 
Hakukuwa na chochote kikubwa narudia tena hakukuwa na chochote! Ila tu siku hiyo aliacha kupokea simu zangu mpaka kesho ndo katika kumuuliza akanirushia hilo Bomu
Mwanamke anapokuambia kuwa wewe si type yake kuna mambo mengi lakini kubwa sana ni huna pesa za kumlea akaridhika. Achana nae huyo tafuta pesa nidhamu itakuja yenyewe
 
Jamani hakuna kitu kinauma ka kupretend kumpenda mtu. Huyo Yu...ameamua kuwa huru. Au ulitaka azidi kukudanganya? We kwani hujakutana na wasichana ukaona kabisa sio type yako?? Eeh kupenda ni kuchagua, kapata wa type yake. Ni ukweli mchungu ila ndo keshaondoka, hao wanaokudanganya kuwa ooh atarudi wanakupa moyo...sisi wanawake tukipata tunaowapenda tunatuliaaaa hata haturudi...usikurupuke kutafuta wa type yako, tulia kwa mda, jitafakari, taratibu utamsahau. Pole sana mwaya.
 
Huyo yuni kapata jamaa mwingine tu ..Fanya vitu zingine Mkuu kama wakubwa walivyokushauri hapo
 
Back
Top Bottom