Mapenzi yananitesa sana USHAURI

Mapenzi yananitesa sana USHAURI

Hao watoto wanaliwa xana mitaa ya kikuyu...graduu ilikua ijumaa iliyopita...wengi wanaongwa xana....kwan ulishawah kumla tgo?
hapana mkuu sio pigo zangu, mi natumai voda tu
 
Amini kwamba unaweza kuishi bila yeye kubali kumuacha aende anaweza kuwa na sababu mia kama ungezidai ila bora amekuambia ukweli nasema muache aende
 
Tafuta ela mkuu, ukizipata mtafute tena atakwambia wewe ni man of her dreams
trust me
 
Akili kichwani mwako mkuu.
Hapa umeshauriwa vyema,kazi ipo kwenye kuyatendea kazi uliyo shauriwa.

Unajikuta unaanza kubembeleza usiachwe,unapiga saana simu.tuma saana sms..

Lakini hazijibiwi,au anakuambia ashapata mwingine tayar.hapo utaumia mnooo.

Kila la kheri..
 
Au pengine na waza anataka anione niko intereste sana kwake yani amejua nampenda sana pengine? Lakini nashukuru pia kwa ushauri naweza pakuanzia mkuu

Mjomba ebu anza kwa ku-improve jinsi unavyoandika tu, yani haioneshi kama umemaliza chuo kwa uandishi huo. Na nna mashaka na muonekano wako pia kama uandishi tu uko ivyo. Una mambo mengi ya kubadili wewe kama wewe kisha uanze kufikiria kumbadili yeye akili yake. Jipende na ujiendeleze kwa kila sector, mapenzi hayatakutesa kamwe. Anza na mindset yako.
 
Mkuu hapo bado hujateseka..., waliteseka na mapenzi huwa akili zinawaruka kwanza, wanakonda, wanaumwa, wanalazwa, baada ya miezi 6 wanapata nafuu ndio wanaanza kulia kwa miezi 6 mingine
 
Wanaume mtajifunza lini lakini? Mapenzi ya chuo ni machache sana huishia ndoa. Baada ya kuhitimu chuo wanawake hufikiria zaidi kuolewa wakati wanaume hufikiria zaidi kujijenga kimaisha.
Wanawake huwa tunaangalia umri na mafanikio, hivyo huwa tunawaza "hivi huyu hadi aje apate kazi na asimame kimaisha si balaa"!! Ndio akitokea mwenye mafanikio zaidi yako kuachwa ni given hata kama ulikuwa unapendwa.

Mkuu wewe hata usimbembeleze huyo mwanamke, ikibidi hata huo ujumbe usijibu, futa kila kitu kinachomuhusu, anza upya maana sio mwisho wa maisha. Anaekupenda kwa dhati na kukuhitaji katika maisha yake hawezi kukufanyia huo upuuzi.
 
Huyo kapata mwingine.wewe pambania hela na maisha kwanza kijana.Mapenzi yatakuja yenyewe mbeleni
 
Ukiona mtu anpta ujasiri wa kukuambia hvyo usimforce love inhitaji willingness ya mtu maisha n muhimu kulko mahusiano angalia namna ya kuliona hlo jmbo n la kawaida wala halikuathiri ww na mambo yko watu wengi wnpoteza pesa muda na akili zao kisa love uwezo wa kuyajenga au kuyabomoa msisha yko uko kwako mwenywe lkn unaathiriwa na mambo ya nje kama hayo chagua fungu lililo jema kwann unateseka kwann uteseka na kitu ambcho kinpswa kikupe furaha
 
ana mtu wake huko nyumbani alikokwenda yani wewe alikufanya tu wakumuhudumia chakula,mavazi na mahitaji mengine si kwamba alikupenda bali alitaka tu mtu wa kumlea chuoni...kijana achana na huyo mtu kaza tu moyo kwa kuwa binadamu tumeumbwa kusahau kwa hiyo utamsahau tu
 
Kijana sawa umetupa heshima lakini sisi tumezoea SHIKAMOO hebu amkia tukupe ushauri
Je inamaana UMETEKWA?
 
Wakubwa zangu Heshima kwenu,
Mimi kijana wenu nimejikuta nikiwa kwenye hali ngumu saana ambayo nadhani sijawahi kukutana nayo kabla, ni baada ya kuangukia kwenye penzi zito na Binti mmoja akiwa ndo amemaliza masomo yake Hapa Dodoma!
Kiukweli Leo amenitumia text yake moja amabayo mpaka sasa hivi nahisi kama siyo yangu lakini ni yangu kumbe kaaabaisaaa! Daah Ananiambia kwamba mimi sio type yake hivyo tu yani daaah (sitaki kuamini umbo langu ndo tatizo maana nnaumbo kidogodogo kiasi) aaaaaargh inauma saaaana saaana tena saaana, yani nmeshindwa hata kumjibu chochote mpaka sasa, Kwa upande wangu napenda sana, nisiwe mnafki tena namuhitaji sana tu lakini ndo kwanza katika future lakini ndo nimemaliza chuo mwaka huu Bado sijaeleweleka kimazingira nyie wenyewe mnajua hali halisi.

Wakubwa nawaheshimu sana ndo maana naomba mawazo yenu sijui nifanye nini mimi sielewi kabisa yani mpaka sasa sina chaku muuliza wala kumjibu hata alichoniambia kama sikielewei yani sijui sijui. Msinaidie mawazo mimi mdogo wenu jamani kabla sijapotea.
Please Yu.... Utaniua jamani daaah
Hilo ndilo jibu lao hao watoto wa UDOM na sijui wanafundishana au vipi?
.
.
Mimi pia nimewahi kuwa muhanga wa jibu hilo,nilidata si mchezo ila nikamove on.....kwa muda sikuhitaji mahusiano.....nilitafuta pesa na maisha kwa nguvu nyingi.

Baada ya miaka kadhaa tulikutana nae huhuhuhuh alikuwa choka mbaya,nikampa lift hadi home kwao baada ya siku kadhaa akaanza kusumbua turudiane kitu ambacho kisingewezekana.

Ushauri;Tafuta hela achana nae,atarudi tu kwa magoti siku moja
 
Mkuu hapo bado hujateseka..., waliteseka na mapenzi huwa akili zinawaruka kwanza, wanakonda, wanaumwa, wanalazwa, baada ya miezi 6 wanapata nafuu ndio wanaanza kulia kwa miezi 6 mingine
Exactly mkuu.. vipi lakini umesha wahi mshuhudia aliye pitia haya?
 
Stay quite ur not serious indeed ur make jokes her without any problem and ur disturbing a people.
Ndo umeandika manini sasa?....Kwani ukiandika kiswahili tu unaona nini?
.
.
Kilikuja kwa meli.
 
Back
Top Bottom