Mapenzi yananitesa sana USHAURI

Mapenzi yananitesa sana USHAURI

Pole sana mdogo wangu, Achana nae nenda kapambane, hiyo text yake iprint weka ukutani kila siku uwe unaiangalia
 
Pole sana mdogo wangu, Achana nae nenda kapambane, hiyo text yake iprint weka ukutani kila siku uwe unaiangalia

daaah sawa sister ila wanawake hatar sana yani ameweza kuniambia live kabisa wewew sio type yangu bila kumumunya maneno kabisa,
 
daaah sawa sister ila wanawake hatar sana yani ameweza kuniambia live kabisa wewew sio type yangu bila kumumunya maneno kabisa,
😀😀😀😀😀😀 kaza moyo dogo mapenzi yatakutesa ooooho
 
Bora kakwambia ukweli mapema....sio mnafiki huyoo
lakini mi na yeye hatujapishana sana zaidi ya mimi kumuacha kwa kila kitu, ila huo ujasiri wa kusema mi sio type ndo nimeushangaa lakin sawa tu , nashukuru pia we call a spade a spade
 
Vipi lakini Uliisha suuza rungu? kama tayari Haina haja Changanya makalio na wewe upite ivi
 
Ni kweli inauma pasi na mfano. Lakini swali je umeachwa na mama yako kusema hutopata mama mwingine?
Relax and go for your dreams.
And I bet huyo girl ndo amekuwa anajihusisha nyuma kimaendeleo. Ungekuwa ushafika mbali, but kutokana na kwamba unataka approval kutoka kwake kila mara umekuwa ulijikuta ukiishi maisha yasiyokuwa yako ili uweze kufit kwake.
Man dont cry for these animals
 
Back
Top Bottom