Wakubwa zangu Heshima kwenu,
Mimi kijana wenu nimejikuta nikiwa kwenye hali ngumu saana ambayo nadhani sijawahi kukutana nayo kabla, ni baada ya kuangukia kwenye penzi zito na Binti mmoja akiwa ndo amemaliza masomo yake Hapa Dodoma!
Kiukweli Leo amenitumia text yake moja amabayo mpaka sasa hivi nahisi kama siyo yangu lakini ni yangu kumbe kaaabaisaaa! Daah Ananiambia kwamba mimi sio type yake hivyo tu yani daaah (sitaki kuamini umbo langu ndo tatizo maana nnaumbo kidogodogo kiasi) aaaaaargh inauma saaaana saaana tena saaana, yani nmeshindwa hata kumjibu chochote mpaka sasa, Kwa upande wangu napenda sana, nisiwe mnafki tena namuhitaji sana tu lakini ndo kwanza katika future lakini ndo nimemaliza chuo mwaka huu Bado sijaeleweleka kimazingira nyie wenyewe mnajua hali halisi.
Wakubwa nawaheshimu sana ndo maana naomba mawazo yenu sijui nifanye nini mimi sielewi kabisa yani mpaka sasa sina chaku muuliza wala kumjibu hata alichoniambia kama sikielewei yani sijui sijui. Msinaidie mawazo mimi mdogo wenu jamani kabla sijapotea.
Please Yu.... Utaniua jamani daaah