Mapenzi yananitesa, bora nife tu

Mwanangu dungamawe
 
Brother kama ni kweli uliyosema, bac kaa ukijua ukijiua humkomoi mtu yeyote.

Utakufa watalia kidogo, then baada ya mwezi watakusahau kabisa.

Unaonekana una roho nzuri, wanasemaga "wema hawana maisha"....kataa huu msemo, ishi hadi kifo kitakapo kuchukua.

Pole kwa muda uliopoteza, pole kwa hela ulizopoteza, pole kwa resources ulizopoteza....nakuhakikishia ukimbana na kukabiliana na hili tatizo kuna kitu unakipata ambacho ni cha muhimu kuliko hata ashura, nacho ni Furaha.

Ondoa mentality kwamba furaha yako ipo kwa Ashura tuu.

Ukiona haya yamekukabili bac jua kuna mambo mazuri yanakuja, dhahabu ili iwe safi hupitishwa kweny moto.
 
Eh!wewe unajiua kisa ashura kwani yupo huku anakusikia au nini bro Acha ufala maisha niraha sana kama unakazi jenga nyumba oa zalisha ishi , mtu huna shida unawaza wehu . Umemsaidia ndugu yo basi inauma tumepitia mengi ila jiweke sawa maisha ni haya haya
 
Njoo pm nikupe namba upate msaada
 
Hii SCENE ni poa sana lakini inatufundisha ujinga sisi wanaume.

wacha UJINGA chalii angu
 
Dungamawe nakusihi usichukur uamuzi huo hayo yote ni mapito tu wanadamu tangu Adam na Hawa walipokaidi kutisikia maelekezo ya mwenyezi Mungu kila mtu anapitia mapito yake.
Ushauri kwangu kwako acha mpango wako wa kujidhuru na usahau yote uliyotendewa um move on ili maisha mengine yaendelee.My take soma neno la Mungu kulingana na imani yako na uwe mtu wa maombi utaona pole pole unarejelea kwenye hali yako ya kawaida.
 
Ngoja nile nishibe kama naona vile naenda kuchimba kimwana ndani soon
 
Mapenzi yana umiza sana
Ila pole sana….
 
Kufa tumfariji Ashura. Wee kufa kwaajil ya K ? Kwani imemwagiwa K vant? Mzeee Sasa hivi paka wapo Kila Kona ushindwe kutega panya tu!
 
Usisahau kumwambia kanumba pindi ufikapo huko kuwa " lulu Alisha olewa na majizo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…