Mapenzi yananitesa, bora nife tu

Siku ukija kugundua kuwaza kujiua kwa ajili ya mapenzi ni ujinga na unajikomoa mwenyewe wenzako wanaendelea kula raha utajicheka
 
Acha ujinga wewe!

Wakati mwingine Mungu anakuambia kwa vitendo kuwa huyu umekosea hata kama umefunga nae ndoa na harusi kubwa!
Muombe Mungu msamaha coz hukumshirikisha wkati huyu anakuja maishani mwako!!

Sasa uombe wa kwako na umsahau huyu!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…