Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 3,594
- 7,497
Mungu ni mwema ndugu yetu bado yuko hai
Kuna vitu namalizia kuweka sawa kabla ya kuondoka.View attachment 2826719
Mungu ni mwema ndugu yetu bado yuko hai
Swali la msingi:Ashura ni nini ulitaka kutoka kwangu sikukupa, japo sikuwa na kazi ya kueleweka lakini nilipambana kwa ajili yako na mtoto wetu huku nikijipa moyo wanaume tumeumbwa kuteseka, licha ya magumu yote niliamini ipo siku Mungu ataniona.
Ooh, lakini imekuwa tofauti kwangu kumbe hata mtoto uliyesema ni wangu Ashura umenidanganya umezaa na mtu mwingine, bora angekuwa ni mtu wa mbali kumbe ni kaka yangu wa damu na sasa mnapanga mniroge niwe kichaa.
Ashura ahadi zote ulizonipa kumbe ulikuwa ukinilaghai, kumbe mwenzangu kwa kushirikiana na kaka yangu mlipanga kunimaliza na hata kile kidogo nilichokuwa nacho mnataka kukichukua.
Ashura siamini kama ni wewe ndio umekuja kuwa hivi, lakini mimi ndio nilikuwa mpumbavu, walimwengu waliambia kuhusu wewe sasa nitaficha wapi uso wangu mimi!
NI BORA NIFE TU NIKAMPUNZIKE KULIKO KUISHI KWENYE HII DUNIA ILIYOJAA MATESO.
Kwaherini wana JF tutaonana mbinguni kwa Baba.
Hiyo safari ni yetu wote kila mtu ana wakati wake, labda kama wewe unataka kuwahi mapema. Kuna jambo naomba nikushirikishe kabla hujafanya hujaondokaKuna vitu namalizia kuweka sawa kabla ya kuondoka.
Mkuu umeghairi kufa?Karibu mkuu
Haaahha Blaza,kwahiyo ulitegemea mwanamke akulipe wema kama ulivyomtendea wewe?hebu acha madihara..huu ni msimu wa maembe,nunua maembe tako tengeneza juice unywe u Enjoy..acha kulalamika na mambo ya ajabuAshura ni nini ulitaka kutoka kwangu sikukupa, japo sikuwa na kazi ya kueleweka lakini nilipambana kwa ajili yako na mtoto wetu huku nikijipa moyo wanaume tumeumbwa kuteseka, licha ya magumu yote niliamini ipo siku Mungu ataniona.
Ooh, lakini imekuwa tofauti kwangu kumbe hata mtoto uliyesema ni wangu Ashura umenidanganya umezaa na mtu mwingine, bora angekuwa ni mtu wa mbali kumbe ni kaka yangu wa damu na sasa mnapanga mniroge niwe kichaa.
Ashura ahadi zote ulizonipa kumbe ulikuwa ukinilaghai, kumbe mwenzangu kwa kushirikiana na kaka yangu mlipanga kunimaliza na hata kile kidogo nilichokuwa nacho mnataka kukichukua.
Ashura siamini kama ni wewe ndio umekuja kuwa hivi, lakini mimi ndio nilikuwa mpumbavu, walimwengu waliambia kuhusu wewe sasa nitaficha wapi uso wangu mimi!
NI BORA NIFE TU NIKAMPUNZIKE KULIKO KUISHI KWENYE HII DUNIA ILIYOJAA MATESO.
Kwaherini wana JF tutaonana mbinguni kwa Baba.
KujiuaNazingua nini?
Pole sana mkuu japo kuna watoto humu wanaleta mzaha .mungu ukutie nguvu jaribu kusali sana washilikishe watumishi wa masheshe na wachungali .hayo ni Mapito tuAshura ni nini ulitaka kutoka kwangu sikukupa, japo sikuwa na kazi ya kueleweka lakini nilipambana kwa ajili yako na mtoto wetu huku nikijipa moyo wanaume tumeumbwa kuteseka, licha ya magumu yote niliamini ipo siku Mungu ataniona.
Ooh, lakini imekuwa tofauti kwangu kumbe hata mtoto uliyesema ni wangu Ashura umenidanganya umezaa na mtu mwingine, bora angekuwa ni mtu wa mbali kumbe ni kaka yangu wa damu na sasa mnapanga mniroge niwe kichaa.
Ashura ahadi zote ulizonipa kumbe ulikuwa ukinilaghai, kumbe mwenzangu kwa kushirikiana na kaka yangu mlipanga kunimaliza na hata kile kidogo nilichokuwa nacho mnataka kukichukua.
Ashura siamini kama ni wewe ndio umekuja kuwa hivi, lakini mimi ndio nilikuwa mpumbavu, walimwengu waliambia kuhusu wewe sasa nitaficha wapi uso wangu mimi!
NI BORA NIFE TU NIKAMPUNZIKE KULIKO KUISHI KWENYE HII DUNIA ILIYOJAA MATESO.
Kwaherini wana JF tutaonana mbinguni kwa Baba.
Nani kakuambia hiyo mbingu inahtaji watu legelege.Ashura ni nini ulitaka kutoka kwangu sikukupa, japo sikuwa na kazi ya kueleweka lakini nilipambana kwa ajili yako na mtoto wetu huku nikijipa moyo wanaume tumeumbwa kuteseka, licha ya magumu yote niliamini ipo siku Mungu ataniona.
Ooh, lakini imekuwa tofauti kwangu kumbe hata mtoto uliyesema ni wangu Ashura umenidanganya umezaa na mtu mwingine, bora angekuwa ni mtu wa mbali kumbe ni kaka yangu wa damu na sasa mnapanga mniroge niwe kichaa.
Ashura ahadi zote ulizonipa kumbe ulikuwa ukinilaghai, kumbe mwenzangu kwa kushirikiana na kaka yangu mlipanga kunimaliza na hata kile kidogo nilichokuwa nacho mnataka kukichukua.
Ashura siamini kama ni wewe ndio umekuja kuwa hivi, lakini mimi ndio nilikuwa mpumbavu, walimwengu waliambia kuhusu wewe sasa nitaficha wapi uso wangu mimi!
NI BORA NIFE TU NIKAMPUNZIKE KULIKO KUISHI KWENYE HII DUNIA ILIYOJAA MATESO.
Kwaherini wana JF tutaonana mbinguni kwa Baba.
bado hajajitundika kwa mti....?!Utoto unaraha sana
Hivyo vitu unavyoweka sawa vinahitajika huko uendako?. We nenda tu mkuu, huku vitu vitajiweka sawa ukishaondoka.Kuna vitu namalizia kuweka sawa kabla ya kuondoka.