Mapenzi yananifilisi

Unanishauri nifanye nini?
kwakuwa ujanani nilikuwa kama wewe ila tofauti tu nilipenda big thrills na ma age go...,, nakushauri kijana, vunja mifupa angali meno bado ipo... tafuta hela zikutoshe kadiri uwezavyo... yaani kijana wewe tia hela, tia hela usiulize(natania tu)

kijana... unatakiwa uweke strict self discipline na mipaka kwako wewe mwenyewe. Be tough. ipende hela yako. nayo itakupenda. kuwa mjanja kijana.. unaonekana umelala mno hujachangamka wewe... hamuwasomi vijana wenzenu smart kama robert taicoon? kuwa mjanja bhana
 
Kula starehe, starehe ni hapa duniani tu, mbinguni hukumu.
 
Kula starehe, starehe ni hapa duniani tu, mbinguni hukumu.
sasa si umesema mapenzi yanakufilisi au? so ushauri ninaokupa ukipenda ni kuweka strict discipline kwenye pesa zako... kuhusu warembo kama unavyosema, uwe mjanja mjanja uwale kwa kutumia pesa kidogo mno.
 
Nchi unahitaji miamba kama wewe . Kwenye miti wakiwepo wajenzi kama wewe nchi itaendelea Sana maana wadada warembo hawatajiuza Sana maana ma sponsor hampoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…