kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Sina tabia hiyo mimi ni binti mpole😂Shida zako zikiisha nawewe unalianzisha 😃😃😃
Sina tabia hiyo mimi ni binti mpole😂Shida zako zikiisha nawewe unalianzisha 😃😃😃
Pole mkuu,nikiona mtu anaumia kwenye mapenzi simchukuli poa, maana watu wachache sana tunapenda toka moyoniHabari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani.
Hadi badae ya siku kazaa mama yake aliponitafuta na kuniambia ukweli alisema tulikuwa tunaogopa kukuambia maana huyu mwenzako amebadilika hakika nmeteseka hadi utendaji kazi wangu ukpungua nayalaani mapenzi mimi
Huko vijijini ndiyo usije jaribu,mwanamke unaemtoa kijijini umlete mjini akapendekeza akaanza kuujua mjini na chocho zake na akaanza ujuaji hadi kwa wanaume utaumia sana mapenzi haya formulaPoleni Sana mnaoteswa na hawa viumbe
Jana kuna jamaa naye ananipa stori amekaa na mwanamke Miaka mitatu kumbe aliolewaga Jana..mama mkwe ndo kamchana jamaa kwamba huyo NI mke wa mtu unapoteza naye muda .halafu wamejenga wote nyumban..
Hawa viumbe kuishi nao inahitaji akili ya kijanja yaani mfanye kama ndugu au rafiki zaidi..kingine ambao hamjaoa tafuteni wanawake wa nyumbani kijijini kwenu ikibidi hata ukoo wako na ukoo wako wanajuana vzr
Usije fanya hivi😄😄 ni hasara mbaya sanaTafuta lishamkupe ulitomb kwa hasira
Umeanza vizuri sana umeshindwa kufunga tu goliPoleni Sana mnaoteswa na hawa viumbe
Jana kuna jamaa naye ananipa stori amekaa na mwanamke Miaka mitatu kumbe aliolewaga Jana..mama mkwe ndo kamchana jamaa kwamba huyo NI mke wa mtu unapoteza naye muda .halafu wamejenga wote nyumban..
Hawa viumbe kuishi nao inahitaji akili ya kijanja yaani mfanye kama ndugu au rafiki zaidi..kingine ambao hamjaoa tafuteni wanawake wa nyumbani kijijini kwenu ikibidi hata ukoo wako na ukoo wako wanajuana vzr
Mapenzi hisiaHabari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani.
Hadi badae ya siku kazaa mama yake aliponitafuta na kuniambia ukweli alisema tulikuwa tunaogopa kukuambia maana huyu mwenzako amebadilika hakika nmeteseka hadi utendaji kazi wangu ukpungua nayalaani mapenzi mimi
Si kasema alikaa na beki 3 guest siku 3, tena beki 3 asiye mfahamu, yaani mtu unaweza jiletea maradhi kwenye ndoa yako halafu mkaanza kulaumiana. Ujinga tu.Tafuta lishamkupe ulitomb kwa hasira
Uko poa?Kabisa meku
Kabisa mkuu, vipi pande hizo mjumbeUko poa?
Salama kabisaKabisa mkuu, vipi pande hizo mjumbe
hahahahaha hiyo kitaalam inaitwa faraja fursa.nataka nimliwaze
Pole shukuru Mungu kakuepusha na matatizo pengine alikuwa nakuzibia rizikizako nyingineHabari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani.
Hadi badae ya siku kazaa mama yake aliponitafuta na kuniambia ukweli alisema tulikuwa tunaogopa kukuambia maana huyu mwenzako amebadilika hakika nmeteseka hadi utendaji kazi wangu ukpungua nayalaani mapenzi mimi
No one cares. Fix it yourself. Here’s how:Habari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani.