Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,753
Wait bro, kasema hiyo nyumba iko wapi?! Kodi si bado ipo au
Muachie Mungu,malipo ni hapa hapa,utashangaa huko alikoenda kajamaa hakana hata nguvu za kiume anakaa mwezi Tu anakuja na stori za shetani alimpitia!sijui haelewi imekuwaje😎😎😎
Hadi akimbie nyumba kapata hogo tam
Kabisa mekuPole mdau.
Oa mwingine.
Usiishi tu kiholela, wengi watakuacha
NomaPoleni Sana mnaoteswa na hawa viumbe
Jana kuna jamaa naye ananipa stori amekaa na mwanamke Miaka mitatu kumbe aliolewaga Jana..mama mkwe ndo kamchana jamaa kwamba huyo NI mke wa mtu unapoteza naye muda .halafu wamejenga wote nyumban..
Hawa viumbe kuishi nao inahitaji akili ya kijanja yaani mfanye kama ndugu au rafiki zaidi..kingine ambao hamjaoa tafuteni wanawake wa nyumbani kijijini kwenu ikibidi hata ukoo wako na ukoo wako wanajuana vzr
Wako wengi hao tafuta pesaHabari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani.
Hadi badae ya siku kazaa mama yake aliponitafuta na kuniambia ukweli alisema tulikuwa tunaogopa kukuambia maana huyu mwenzako amebadilika hakika nmeteseka hadi utendaji kazi wangu ukpungua nayalaani mapenzi mimi
Wewe mkuu jau sana, nimecheka kipuuzi. Kwamba "nakukataa shetani na mali zako zote"Kitendo Cha kukuachia kilakitu ni tusi kubwa kweli..."sikupendi wewe na Mali zako"
Kodi hadi mwakani mwezi wa nneWait bro, kasema hiyo nyumba iko wapi?! Kodi si bado ipo au
Ninamaumivu sanaNjoo tupendane utulie na mm