Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,194
Nyumba ipo wapi niwe napita hata kujipumzisha mchana.Kodi hadi mwakani mwezi wa nne
Joanah kodi bado ipo kumbe
Nyumba ipo wapi niwe napita hata kujipumzisha mchana.Kodi hadi mwakani mwezi wa nne
🤣🤣🤣 Hakika hakikaWewe mkuu jau sana, nimecheka kipuuzi. Kwamba "nakukataa shetani na mali zako zote"
Nitakupoza hata na mm nimeumizwaNinamaumivu sana
Usirudie kosa hukuwa na sababu yakumpangishia nyumba mtu kama una nia naye ,ungemvuta aje kwako muwe mume na mke akiondoka hapo SAWA,usiwekeze sana Kwa mwanamke unayetaka kuoa akiwa kwao au anakaa peke yake. Next time ukipata usitpoteze muda naye mwambie live njoo tuishi wote hawezi huyo atakupiga tukioHabari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani.
Hadi badae ya siku kazaa mama yake aliponitafuta na kuniambia ukweli alisema tulikuwa tunaogopa kukuambia maana huyu mwenzako amebadilika hakika nmeteseka hadi utendaji kazi wangu ukpungua nayalaani mapenzi mimi
Nomarawaaa Maisha lazima yaendelee
Kuponya majeraha ya mtu aliesalitiwa n kazi mm nmeachana na mtu wa hvyo kabisa yaan we mtu alisalitiwa , kumponya huwez mpaka ajiponue mwenyewehaya kina dada jimbo liko wazi ingawa mtakuwa na kazi ya kuponya majeraha yake ya mapenzi..
Wakiume ww, kazq mkanda. Shukuru Mungu funga kurasa , amka jikung’ute vumbi Mungu atakupa mwingineHabari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani.
Hadi badae ya siku kazaa mama yake aliponitafuta na kuniambia ukweli alisema tulikuwa tunaogopa kukuambia maana huyu mwenzako amebadilika hakika nmeteseka hadi utendaji kazi wangu ukpungua nayalaani mapenzi mimi
NinamaumivuNjoo tupendane utulie na mm
NakujaNjoo tupendane utulie na mm
RibuNinamaumivu
Nakuja
mwachen kijana wa watu, mnampunguzia siku za kuishi kwa matukio kupgwaPole sana njoo unipangie mimi sitakimbia
Hili sio la wanawake tu, hata wanaume wapo sana wanao watesa wanawake, tena wengine unakuta ni mkewe kabisa, wanaanza vizuri lakini MUNGU akiwabariki au wengine labda kaongeza elimu yake huyu mke ambaye alikuwa naye anamuona hafai na halingani na elimu alionayo yeye, hivyo mambo haya yapo pande zote, ukimpata wakufanana naye mshukuru MUNGU sana.Poleni Sana mnaoteswa na hawa viumbe
Jana kuna jamaa naye ananipa stori amekaa na mwanamke Miaka mitatu kumbe aliolewaga Jana..mama mkwe ndo kamchana jamaa kwamba huyo NI mke wa mtu unapoteza naye muda .halafu wamejenga wote nyumban..
Hawa viumbe kuishi nao inahitaji akili ya kijanja yaani mfanye kama ndugu au rafiki zaidi..kingine ambao hamjaoa tafuteni wanawake wa nyumbani kijijini kwenu ikibidi hata ukoo wako na ukoo wako wanajuana vzr
😂😂😂nataka nimliwazemwachen kijana wa watu, mnampunguzia siku za kuishi kwa matukio kupgwa
Shida zako zikiisha nawewe unalianzisha 😃😃😃Pole sana njoo unipangie mimi sitakimbia 😎