HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,445
- 6,207
Habari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani.
Hadi badae ya siku kazaa mama yake aliponitafuta na kuniambia ukweli alisema tulikuwa tunaogopa kukuambia maana huyu mwenzako amebadilika hakika nmeteseka hadi utendaji kazi wangu ukpungua nayalaani mapenzi mimi